Mwita Waitara kukumbwa na yaliyomkuta Wassira

Yanatia aibu kweli yanaiba fedha za watz hadi yanaiba mabox na makaratasi, ovyo Karisa. Yaani yamesababisha niichukie hata rangi ya kijani sipendi hata kuiona

Da! Aisee! Kwa hiyo hata mboga za majani huli ? Mchicha, figiri, mnafu...nk.
 
H
Kwa kadri ya imani ya Wakurya , NI AIBU KUBWA SANA KWA MWANAUME WA KIKURYA KUSHINDWA NA MWANAMKE KATIKA JAMBO LOLOTE , Tangu Mzee Wassira ashindwe kwenye kinyang'anyiro cha ubunge na Dada Easter Bulaya amejificha chini ya uvungu wa kitanda , taarifa zinadokeza kwamba sehemu pekee anayojitahidi kwenda ni kwenye clinic yake ya kisukari kilichompata baada ya kushindwa ubunge , hii ni kwa vile madaktari walimuonya kwamba asipohudhuria hiyo clinic atakufa .

Jimbo la Ukonga ambalo ni kama Tarime ya DSM kutokana na kukaliwa na Wakurya wengi , wakazi wake ambao wengi ni wakulima , wafugaji wa kuku na askari wastaafu wamejiapiza hasa baada ya Chadema kumteua mgombea Mwanamke , wamejiapiza kumtosa Msaliti Waitara ( ALIYEKIMBIA CCM NA KUPOKELEWA CHADEMA BAADA YA KUKATAA KUMPIKIA CHAI EMMANUEL NCHIMBI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM , kumbuka kwamba waitara aliajiriwa kuwa katibu Mhutasi wa Nchimbi ) na kuhakikisha kwamba Mgombea wa chadema ambaye ni mwanamke anashinda kwa kishindo .

Njia pekee ya waitara kuwa kiongozi ni kuteuliwa kama Chalamila
Hivi bado ipo Chadema, nimekisahau
 
Malaya mkubwa wewe.kwani ninyi mnavyotumia policcm na uhamiaji kutuchunguza huo ni ushamba tu unawasumbua hata hatubabaiki na lijiwe lenu.shit
Wewe mpuuzi bahati yako mods huwatetea malofa kama wewe hapa, la sivyo ningemtusi mama yako aliyekuzaa hadi akili ikukae sawa.
 
Kwa kadri ya imani ya Wakurya , NI AIBU KUBWA SANA KWA MWANAUME WA KIKURYA KUSHINDWA NA MWANAMKE KATIKA JAMBO LOLOTE , Tangu Mzee Wassira ashindwe kwenye kinyang'anyiro cha ubunge na Dada Easter Bulaya amejificha chini ya uvungu wa kitanda , taarifa zinadokeza kwamba sehemu pekee anayojitahidi kwenda ni kwenye clinic yake ya kisukari kilichompata baada ya kushindwa ubunge , hii ni kwa vile madaktari walimuonya kwamba asipohudhuria hiyo clinic atakufa .

Jimbo la Ukonga ambalo ni kama Tarime ya DSM kutokana na kukaliwa na Wakurya wengi , wakazi wake ambao wengi ni wakulima , wafugaji wa kuku na askari wastaafu wamejiapiza hasa baada ya Chadema kumteua mgombea Mwanamke , wamejiapiza kumtosa Msaliti Waitara ( ALIYEKIMBIA CCM NA KUPOKELEWA CHADEMA BAADA YA KUKATAA KUMPIKIA CHAI EMMANUEL NCHIMBI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM , kumbuka kwamba waitara aliajiriwa kuwa katibu Mhutasi wa Nchimbi ) na kuhakikisha kwamba Mgombea wa chadema ambaye ni mwanamke anashinda kwa kishindo .

Njia pekee ya waitara kuwa kiongozi ni kuteuliwa kama Chalamila
Yaliomo yamo
 
Fala wewe huna adabu.chama chote cha ccm hawana adabu.wanatukana watanzania.Mkapa alituita watanzania malofa.mwinyi alituita kichwa cha mwenda wazimu.sasa wewe nawe ukitukana tukana tu maana ni kawaida yenu. Ila sikunitafika
 
Ccm wekeni bunduki na mapanga chini tubishane kwa hoja.boksi liamue nani kiongozi wetu.Mkatubu ninyi la sivyo mtachomwa na Mungu. Haki na Elimu viwajae ninyi ccm.
Kwa kifupi, lugha za kihuni wote tunaziweza. Usitake kujifanya mjanja sana.
 
Kweli
Kuna hana ya CHADEMA kushiriki chaguzi zote....haijalishi alieshindwa kutangazwa mshindi.....mpaka watoto wa miaka 9 wajue mchawi nani......ndio maana ya kupanda mbegu...
 
hivi bado kuna watu mnaamini kwa sasahivi kura ya mwananchi inaamua juu ya kiongozi anayemtaka?,
 
Hayo ndio tunayo tarajia lakini ccm wasipo pora matokeo kama walivyofanya kwenye chaguzi zilizopita
 
Kwa kifupi, lugha za kihuni wote tunaziweza. Usitake kujifanya mjanja sana.
Ndio mimi mjanja ccm wote ni washamba na wewe ukiwemo.mliona kuiba kura haitoshi sasa mnapora.baadae mtabaka tu. Ninyi ni chama cha wauaji na wabakaji.Tena siku upinzani uchukue nchi hii labda nisipate chance ya ngazi za juu nakamata ccm yote hasa wa ngazi za juu kwa kosa kuendesha nchi vibaya kwa makusudi kabisa
 
Kwa kadri ya imani ya Wakurya , NI AIBU KUBWA SANA KWA MWANAUME WA KIKURYA KUSHINDWA NA MWANAMKE KATIKA JAMBO LOLOTE , Tangu Mzee Wassira ashindwe kwenye kinyang'anyiro cha ubunge na Dada Easter Bulaya amejificha chini ya uvungu wa kitanda , taarifa zinadokeza kwamba sehemu pekee anayojitahidi kwenda ni kwenye clinic yake ya kisukari kilichompata baada ya kushindwa ubunge , hii ni kwa vile madaktari walimuonya kwamba asipohudhuria hiyo clinic atakufa .

Jimbo la Ukonga ambalo ni kama Tarime ya DSM kutokana na kukaliwa na Wakurya wengi , wakazi wake ambao wengi ni wakulima , wafugaji wa kuku na askari wastaafu wamejiapiza hasa baada ya Chadema kumteua mgombea Mwanamke , wamejiapiza kumtosa Msaliti Waitara ( ALIYEKIMBIA CCM NA KUPOKELEWA CHADEMA BAADA YA KUKATAA KUMPIKIA CHAI EMMANUEL NCHIMBI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM , kumbuka kwamba waitara aliajiriwa kuwa katibu Mhutasi wa Nchimbi ) na kuhakikisha kwamba Mgombea wa chadema ambaye ni mwanamke anashinda kwa kishindo .

Njia pekee ya waitara kuwa kiongozi ni kuteuliwa kama Chalamila
Tatizo halipo kwa wapiga kura. Tatizo lipo kwenye kutangazwa mkuu.
Swali ni je, huyo mwanamke atatangazwa endapo atakua ameshinda?
 
Ndio mimi mjanja ccm wote ni washamba na wewe ukiwemo.mliona kuiba kura haitoshi sasa mnapora.baadae mtabaka tu. Ninyi ni chama cha wauaji na wabakaji.Tena siku upinzani uchukue nchi hii labda nisipate chance ya ngazi za juu nakamata ccm yote hasa wa ngazi za juu kwa kosa kuendesha nchi vibaya kwa makusudi kabisa
Sina muda na malofa dizaini yako.
 
Back
Top Bottom