Akitangazwa mshindi nayo mbinu bwashee! Inasikitisha watu kuingia katika kinyanganyilo ukijua utashindwa. Wanaojitambua kama mtoto wa Lowassa hawjiaibishi.Mbinu sawa, lakini ni za kupigiwa kura, sio kutangazwa umeshinda, wakati kura zako ni chache.