bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,213
- 20,127
kwa hali ilivyo sasa bila msitu ni ngumu kuitia adabu sisiemu. minyoo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa la Mkurugenzi ni lipi? Yeye anajuaje kwamba barua Ile ni feki au siyo feki? na ilitoka kwenye chama husika. Kwa mujibu wa sheria na utaratibu meya anapofukuzwa anatakiwa akate rufaa kwa Waziri mwenye dhamana na Serikali za mitaa siyo Mkurugenzi. Waziri atapitia na kujiridhisha ukweli wa mambo ulivyo kabla hajatoa maamuzi yake. Kwahiyo, Naibu Waziri yupo sahihi kabisa.Mkuu sijui kama unajua maana ya short and clear au kwa neno moja ni brief.
1.Barua amekuandikia mkurugenzi utaendaje kuomba ufafanuzi wa kosa kwa waziri kama barua ni fake?
2. Barua imeandikwa na Chadema hivyo hata mahakamani wa kuthibitisha kuwa ni halali ni CDM sio mkurugenzi au waziri. Mkurugenzi anachoweza kuthibitisha ni kafanyia kazi fake letter.
Hata hivyo, nisiwemchoyo wa pongezi, nampongeza sana waziri kwa kuchukua hatua itakayopunguza janga hili la korona.
Ni uzi wa maandishi au na video?Mbona kama jana mkurugenzi aliomba radhi kwa kufanyia kazi barua fake bila kujiridhisha uzi upo humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzembe upi alioufanya Mkurugenzi? Yye angejuaje kama Ile barua ni feki? Au Katiba ya Chadema inasemaje? Mahakama pekee ndo inaweza kutafsiri Katiba ya chama chochote na ikijiridhisha utaratibu ulikiukwa ndo inaweza kutengua maamuzi ya Mkurugenzi.Mbona unakua mjinga kiasi hiki?
Sasa hapo kosa ni la mkurugenzi au kosa la Chadema, Chadema wakate rufaa kwa kipi hasa?
Mpaka mda huu Mkurugenzi ilitakiwa awe amejiudhuru kwa Uzembe na mkurupuko aliofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana yake hiyo... sasa sijui itakuwaje siku mtu akipita ofisini kwao Lumumba na kuchukua headed paper za ccm, mihuri ya ofisi na kuwaandikia wabunge wote wa ccm kwamba wamefutwa uanachama wa ccm, itakuwaje hapo...?Kwa hio wanaamini kila barua toka popote
Tunataka kuona video ya Mkurugenzi akikiri na kuomba radhi. Otherwise hizi ni propaganda ambazo haziwezi kuwasaidia Chadema chochote.
Wakati mwingine ni vizuri mtu kujinyamazia.
Amandla....
fujo utaratibu wake unajulikana.Wakati mwingine ni vizuri mtu kujinyamazia.
Amandla....
Aende ofisini sasa aone..Nani atamsililiza huyu mlevi
Tangu lini mtu kwenda ofisini kwake kumekuwa fujo?Fu
fujo utaratibu wake unajulikana.
Itamcost,na asipopitishwa kugombea ubunge atachanganyikiwa.Kura za maoni CCM mwaka huu zitaacha madonda makubwa.Jamaa ana hasira na Chadema ataka aifute machoni kabisa