CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hebu fikiria kama leo tarehe 21/12/2012 saa sita kamili (0000hrs) ingelikuwa mwisho wa dunia.... Ungelikuwa wapi na unafanya nini???
Kuna ambao walikwenda makanisani kukesha...
Wengine kwenye viti virefu....
Wengine safarini....
Wengine usingizini.... n.k!!!!
Kuna ambao walikwenda makanisani kukesha...
Wengine kwenye viti virefu....
Wengine safarini....
Wengine usingizini.... n.k!!!!