asante kwa picha mkuu .
Ronaldo, unafuatilia hadi siasa za bongo.
Kweli ufisadi wa Tanzania umefikia viwango vya Kimataifa.
Kwa taarifa tu,usifikirie huyu chenge ndio mwizi maarufu,yupo mwingine,azungumziwi sana sababu alikuws anaumwa,ndo amerudi juma mosi jioni.
Huyo ni mwizi wa kutupwa,anaiba kama hana akili nzuri,ni mwizi haujapata kuona.
Anaitwa,Jakaya Mrisho Kikwete.
We unakuja lini bongo sasa?
Ronaldo, unafuatilia hadi siasa za bongo.
Kweli ufisadi wa Tanzania umefikia viwango vya Kimataifa.
Kwa taarifa tu,usifikirie huyu chenge ndio mwizi maarufu,yupo mwingine,azungumziwi sana sababu alikuws anaumwa,ndo amerudi juma mosi jioni.
Huyo ni mwizi wa kutupwa,anaiba kama hana akili nzuri,ni mwizi haujapata kuona.
Anaitwa,Jakaya Mrisho Kikwete.
We unakuja lini bongo sasa?
rosemarie hilo ni dua la kuku kamwe halimpati mwewe..Chenge ni mtaalamu aliyebobea kwenye sheria na siasa hivyo ukimwona wa kazi gani duniani wanasema watampata lini....Usimwonee gere kwa kupata fedha hizo unachotakiwa kujiridhisha ni kama kweli fedha hizo hakustahili kulipwa au amekwiba....vinginevyo hata sala yako leo ilikuwa unamwomba shetani kwani Mungu hapokei dua za wenye husuda...
Mmh huyu jamaa ni jinni sidhani kama litang'oka
Alivyo jeuri si mlisikia alipokwa anazomewa bungeni wakati akimsaidia madame speaker kumpatia ''formulation'' nzuri ya maneno ya kuandika azimio kwa mkulu ,alisema wala hizo kelele hazimsumbui na alisikika waziwazi kwenye TV,jama ana ngozi ngumu kama ya kiboko mzeehuyo ni fisadi hangoki
Chenge ni source ya umaskini wa watanzania! hachoki kuiba mabilioni kila kukicha!
Hivi zile kamera za bunge zilimkamata nani anafanya ushirikina ndani ys bunge??
Kama unanufaika na huu mfumo nakupa big up.ila Kama huna unalopata wewe Ni kenge maji.
Vitendo vyake unavionaje mkuu ?
Watanzania wenzangu,
kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho,Chenge ambaye kwa sasa ni Mbunge na Mwenyeketi wa kamati ya Uandishi wa Katiba mpya mwisho wake hakika hakika unakaribia kuliko jinsi tunavyoamini
huyu mtu amekuwa kwenye system kwa miaka mingi na tukumbuke ni mmoja wa wasomi wachache wa taifa letu waliosoma harvard university
yaliyotokea mwisho wa week hii ndiyo chanzo cha kumalizika kabisa kwa fisadi huyu msomi ambaye katu hakuelimika na elimu yake
Chenge amen'golewa na nguvu ya maskini walewale aliokuwa akiwadharau siku zote,maazimio ya bunge yakisimamiwa na viongozi wetu tuliowatuma Bungeni yamesababisha kummaliza rasmi fisadi nguli Chenge,kwa taarifa tu ni kwamba Chenge ndiyo ametolewa rasmi kwenye system hii mbovu ambayo ni wajibu wetu watanzania wote kuitengeneza upya,fedha zote alizopata baada ya kuwasaidia wazungu ili watutapeli kwenye manunuzi ya rada zimefikia mwisho wake rasmi,fedha zote alizopata kwenye Escrow zinafikia mwisho wake,Kamwe Chenge hatarudi kwenye system hii milele na milele na kamwe hawezi kushinda ubunge tena na atakuwa mitaani na wana system wenzake watamgeuka na ATAVUNA ALICHOPANDA!
kilichobaki sasa hivi kwa Watanzania ni kuendelea kupambana kwa kutumia viongozi wetu na huku tukiwaombea na kuchangia vyama vyetu kwa nguvu zote ili tuweze kuendelea kuivunja system kidogo kidogo kwani system imeharibika mno kiasi kwamba tukisema ni ku offload once tutasababisha vita ya maangamizi kwenye taifa letu,
nimetoka kanisani na tumemshukuru Mungu kwa hapa tulipofika soo far,
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA VIONGOZI WAAMINIFU,AMEN!
Chenge ni hatari,ngoja nikamtoe huko Bariadi,simwogopi wala nini pamoja na uchawi wake
Mtafutie ushahidi wenye mashiko umburute kortini na usimamie kesi hiyo ili hukumu itoke kwa haki