Siwezi kushangaa Mwingira kuwa Chadema si anamfuata swaiba wake Dr Slaa.
"jambo usilolijua ni kama usiku wakiza"Kwahiyo kuna maana gani kusema ameokoka kama anaweza kuanguka kwenye dhambi?
Amesema pia kuwa ,CDM itashika dola na Zitto kuwa rais, makamu ni Slaa na pm ni Shibuda, Tanzania itakua developed country na itatoa misaada kwa nchi zote africa, cement itakua bure na sukari itakua sh 100 kwa kilo, kila mtanzania atakuwa na kipato cha milion 7. Sugu atatoa album na 50 cent na nassari atamuoa jenifer lopez.
"jambo usilolijua ni kama usiku wakiza"
WANA JF,Nimekua nikisoma mara nyingi maoni ya wanajf hasa linapokuja suala linalohusu viongozi wa dini,mara nyingi watu huacha kujadili ujumbe na kuanza kumjadili mtu binafsi.Kwa mtizamo wango viongozi wa dini hata wawe vipi nao huwa wanajaribiwa na kuanguka katika dhambi kama binadamu mwingine yeyote yule.Dhambi iliingia duniani baada ya wazazi wetu wa kwanza kutenda dhambi.Na ikumbukwe hawa walikua na uwezo wa kuongea na Mungu lakini still walitenda dhambi.Mfano mwingine ni mfalme Daudi ambaye alikua akipata maelekezo toka kwa Mungu kupitia manabii,na mwisho wa siku aliamuru kamanda wake awekwe mstari wa bele ,na iamriwe jeshi lirudi nyuma ,ili kamanda auawe,na yeye mfalme kuchukua mke wake.sasa kama hao viongozi wa kale ambao atleast waliweza kuongea na Mungu wakatenda dhambi sembuse hawa wa leo?
Hoja hapa ni chama cha mabwepande kung'oka madarakani,hayo ya Mwingira ni udhaifu wa kawaida wa mwanadamu.Hebu tujadili pale unapomfumania baba au mama yako ,akichieat,huwa mnakuja humu kuponda kama mnavyowaponda viongozi wa dini?
Let's be "Great thinkers"
Tatizo ht Kakobe alipata kutabiri kuwa Mrema angekuwa Rais.
Huhitaji unabii au kupigwa mabomu kulifahamu hili. Ni kitu iliyo wazi. Nimehudhuria mikutano mitatu ya uchaguzi CCM majuzi. Kote nimesikia wakisema wanachagua timu kwa uchaguzi wa 2014 na 2015. Wamejawa hofu, na hakuna anayemuamini mwenzake.Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!
my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!
usihukumu ndugu, unauhakika gani kwamba ni kweli ilitokea au alisingiziwa?Huyu jamaa, huyu mwingira huyu, bado mnamwamini na kashfa yake ile na mke wa wakili mmoja maarufu Dar? Labda kama ni Mwingira mwingine.
ni wale wa kwa ma'mdogoWale wanaokunywa mnazi asubuhio badala ya chai?
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni 2015 kama alivyoitabiria KANU ya Kenya...!! ametoa mifano kadhaa ya Biblia kuhusu Shedrack, Meshack na Abednego waliotupiwa kwenye moto lakini hawakuungua. ameeleza kwa ujasiri sana kuwa watawala wa Tanzania wataharibikiwa mambo yao kutokana na maovu wanayowafanyia waTz..!
my take:
naona hz ni hasira za kupigwa mabomu pale kanisani kwake...!
Hata kakobe aliwahi kutab iri mzee kiraracha atakuwa raisi lakioni wappi?
Amesema pia kuwa ,CDM itashika dola na Zitto kuwa rais, makamu ni Slaa na pm ni Shibuda, Tanzania itakua developed country na itatoa misaada kwa nchi zote africa, cement itakua bure na sukari itakua sh 100 kwa kilo, kila mtanzania atakuwa na kipato cha milion 7. Sugu atatoa album na 50 cent na nassari atamuoa jenifer lopez.