DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,310
- 29,503
The good news is hatutarajii kumuona kamanda mkuu magufuli akiwa na barakoa ila tunategemea atatoa kauli nzito nzito za kuichapa chapa corona, huku Bwana Polepole akiiimbia wimbo wake wa Corona iondoke nchini au ikae nasi kwa utulivu la sivyo itatandikwa na nyungu za kutosha.Ni matumaini yetu makubwa kesho tutaweza kumuona Jemedari wetu akiwaongoza waTanzania kuaga huu mwili aisee. Mungu ampe wepesi na kumbariki sana