Mwili wa Dkt. Kijazi wawasili Dar es Salaam, kuagwa rasmi kesho Karimjee. Kuzikwa Korogwe Jumamosi

Ni matumaini yetu makubwa kesho tutaweza kumuona Jemedari wetu akiwaongoza waTanzania kuaga huu mwili aisee. Mungu ampe wepesi na kumbariki sana
The good news is hatutarajii kumuona kamanda mkuu magufuli akiwa na barakoa ila tunategemea atatoa kauli nzito nzito za kuichapa chapa corona, huku Bwana Polepole akiiimbia wimbo wake wa Corona iondoke nchini au ikae nasi kwa utulivu la sivyo itatandikwa na nyungu za kutosha.
 
Viongozi mbalimbali wako uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakiongozwa na waziri mkuu mh. Majaliwa.

Ndege iliyobeba mwili imeshawasili.

Tukio liko mubashara Channel ten na TBC

======

Mwili wa marehemu Dkt. Kijazi utapelekwa hospitali ya Lugalo kuhifadhiwa. Mwili umewasili kutokea mjini Dodoma.

Dr. Abbas: Tuendelee kumuombea katibu mkuu kiongozi ambae ametutoka jana na leo tumepokea mwili hapa Dar es Salaam baada ya jana kufariki usiku katika hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Kwahiyo taratibu zinaendelea kiserikali na kama mnavyoona tulikuwa na mheshimiwa waziri mkuu.

Utaratibu unaenda kuhifadhiwa kwa muda kidogo Lugalo lakini baadae pia usiku huu utapelekwa nyumbani kwake hapa Dar es Salaam na kwa ratiba leo itakuwa imeishia hapo.

Ratiba ya maziko na mazishi kitaifa itaanza rasmi kesho, tutakuwa na shughuli uwanja wa Karimjee, Dar es Salaam. Wananchi wawahi kuanzia saa moja asubuhi ikiwezekana kwasababu tutakuwa na viongozi wengi lakini misa na shughuli nyingine zitaanza saa tatu kwenda mbele.

Baada ya shughuli ya kesho Karimjee, tutasafirisha kwenda kwao Korogwe mkoani Tanga ambap shughuli ya mazishi na maziko zitafanyika siku ya tarehe 20 ambayo ni Jumamosi.

Alikuwa kiongozi muhimu kwa nchi yetu, cheo cha katibu mkuu kiongozi ni cheo kikubwa kwenye utumishi wa umma, ndie alikuwa katibu wa baraza la mawaziri, ndie amekuwa mwenyekiti wa kamati ya makatibu wakuu, ndie ambae kwa sehemu kubwa sana amesukuma mageuzi kwenye utumishi wa umma na naamini michangio yake itaelezwa
Kesho watu wazingatie barakoa na social distance.
 
Na sisi Wasambaa hapa Korogwe tunamsubiri kwa hamu kuja kumuaga na kumpumzisha rasmi kwenye nyumba yake ya milele.

Ndiyo hivyo tena. Ameshatutoka. Hakuwa mtu mwenye maneno mengi.
Muda mwingi alikuwa ni Kiongozi mtulivu na mwenye hazina kubwa ya busara.
Hata uchaguzi ulipoibwa hakuwa na maneno mengi alipiga kimya
 
Hawa wababe akina magu wangejifunza sana kwa msiba huu, wajue hawana ubabe wowote bali ni waoga km mbwakoko.

Kwa alivyoshiriki wizi wa kura leo korona imenyoosha, imembana punzi mbabe uyu mpaka akawa anapumulia uko nyuma, na ela zote wanazowaibia watanzania hazikuweza kumsaidia kuyakimbia mauti, mwisho wake ndio haya yakajiri.

Kifup izo mbwembwe za akina magu ni nyepesi sana yaani kuna manani mjuzi pia mbabe na muweza wa yote na si hawa majizi tu wa kura
Hivi hao wananchi hawana TV waage wakiwa makwao ? Unajua hizi family affairs watu tumezigeuza kuwa function na kuuza sura, sijui huu utamaduni tumeutoa wapi..., Yaani anatoka Dodoma, anapelekwa uwanjani alafu tena ndio anapelekwa sijui kwao kuzikwa....

Hapo wafiwa ni kupelekeshwa na kusumbuliwa tu.... hususan nyakati hizi za changamoto ambayo hatujui vizuri ni changamoto gani....
 
Wanajua dodoma si lolote si chochote, kamji kamejaa vumbi na kako below standard, kidupi mambo makubwa, bora na ya ukweli yako na yataendelea kuwa Dar.

Muhache magu na genge lake wajifariji tu lkn ukweli wanaujua na matokeo yake ndio haya.
Mtu kafia Dodoma na kwao ni Korogwe, Dar anapelekwa ili iweje wakati sio makao Mkuu tena ya nchi?
 
Hivi hao wananchi hawana TV waage wakiwa makwao ? Unajua hizi family affairs watu tumezigeuza kuwa function na kuuza sura, sijui huu utamaduni tumeutoa wapi..., Yaani anatoka Dodoma, anapelekwa uwanjani alafu tena ndio anapelekwa sijui kwao kuzikwa....

Hapo wafiwa ni kupelekeshwa na kusumbuliwa tu.... hususan nyakati hizi za changamoto ambayo hatujui vizuri ni changamoto gani....
Nimeshangaa pia. Utaratibu wetu wa kuendesha misiba ni wa ajabu sana.

Ati jana Maalim(RIP) kaagwa Dar,kosha Unguja kisha Pemba kha!

Halafu Kijazi naye jana kaagwa Dodoma, leo Dar halafu kesho Korogwe.

Ni kuchosha wafiwa, kuchezea muda, kuweka watu kwenye hatari za kiafya, matumizi mabaya ya pesa n.k
 
"IN A COUNTRY WHERE SYCOPHANCY IS CONSIDERED PATRIOTIC, IT IS RISKY TO SHOW YOUR INTELLIGENCE" Isaac Asimov
 
Nilimpenda sana huyu marehemu.

Tukubali tu kuwa kuna Corona hata kama siyo iliyomuuwa, itoshe mtu akifa azikwe tu, yanini kutembeza mwili dodoma to dsm then back to tanga nini yote hiyo.

Au kamati za mazishi kuna something wanapata.

Kwanza maiti hairudi nyuma unless alipelekwa mortuary na kurudishwa home.

Anyways, Rest in Paradise Kijazi, you were my roll model.
 
Nimeshangaa pia. Utaratibu wetu wa kuendesha misiba ni wa ajabu sana.

Ati jana Maalim(RIP) kaagwa Dar,kosha Unguja kisha Pemba kha!

Halafu Kijazi naye jana kaagwa Dodoma, leo Dar halafu kesho Korogwe.

Ni kuchosha wafiwa, kuchezea muda, kuweka watu kwenye hatari za kiafya, matumizi mabaya ya pesa n.k
Bora Maalim tukio limefanyika kwa siku moja, huyu wanaendelea tu kumchelewesha kupata malipo yake kwa Muumba wake
 
Back
Top Bottom