GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
Kama ni Rafiki yako mwambie kuwa kuna mawili ama Watu wa Simba SC tumpige na hatutanii au tumuweke nao Wote.Mwijaku ni CEO wa macherwer
Ni kalama au Karama?Mzee wa kalama vp tarehe 8 tunataka kujua maana kila mtu na kipaji chake🙏
Labda kama alimaliza kwa kuzibuliwa mabao ila sio kwa kupewa zaidi ya robo ya mshahara wa Aziz Ki anaovujia jasho kupata mwezi mzima kisha atoe kirahisi tu kwa mtu kwa kupiga domo kwa dakika kadhaa.keshakula 10 milliion
Duuuu karama ila ujumbe ule umefikaNi kalama au Karama?
Ni kalama au Karama?