Mwigulu Nchemba: Wezi wamejificha nyuma ya viongozi wastaafu sasa ni maumivu tu

TEKE LA KUKU HALIMFIKII MWEWE.

WATZ TUMELIWA KEKUNDU, KILICHOPO PALE;

"CHUKUA CHAKO MAPEMA"

KAMA WEWE ULICHELEWA UKALAZA DAMU SHAURI YAKO.
MKUU KASEMA WAACHENI WAZEE WAPUMZIKE. OVER.

CHOKOCHOKO HAITOSAIDIA, MLIOPO SAAIZI TAFTENI KIKI NYINGINE YA KUFISADI.

NAFIKIRI MMENIELEWA.
Nimekuelewa, C_chukuwa C_chako M_mapema
 
Somo kwa waliopo madarakani ikitokea kapewa maelekez y kusaini bora ajiuzulu maan ikifka ataachwa peke yake na aliyemtuma atapeta
 
Pointless.. Yani na master's yangu unishawishi na hoja nyepesi kama hizi??labda kamshawishi muuza genge
 
huyu tungekuwa nchi zingine angeshafukuzwa kazi kwenye uwaziri wa mambo ya ndani amebaki porojo tu.
 
Wakikosa wa kuwapigia makofi wanaanza kubwabwaja lolote ili wapigiwe makofi kwa ni nani asiyejua kuwa anajiongelesha
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, amesema kama watu waliojihusisha na mchanga wa dhahabu maarufu kama makinikia walitafuta kichaka cha kujificha nyuma ya marais wastaafu, wajihesabie maumivu.

Akiwa jimboni kwake Iramba magharibi kwa ajili ya kusambaza umeme kwenye vijiji mbalimbali amesema kwamba hamna mtu atakayepona katika ishu hii ya makinikia.

Wapo wanaokebehi na kuwataja viongozi hawa wastaafu kwa sababu zao na wengine kwa sababu wanaona wanahusika katika ishu hii na kwamba viongozi hawa hawapaswi kuonewa kwa makosa ya waliokuwa maAgent wa madini. Alisema Waziri Mwigulu Nchemba

Siasa kitu cha ajabu sana...
Unaongea usichokiamini na kuwaaminisha unaowaambia kuwa ni ukweli.....
 
Hawa huyu anamdanganya nani? anafikiri waTZ hawa ni wale wa zamani waliokuwa wanasema ndio kwa kila kitu? Tatizo lao wanafikiri kuwa kiongozi unaweza kuwajaza watu ujinga na wakakubali tu. Usoni wakuchekea lakini vichwani wanajua nini cha kufanya. sio miaka hii tena. Hata mtoto wa primary anajua yaliyojiri, sasa kujidai kwamba marais wastaafu wasiguswe maana yake nini? Kuoga bila sabuni au? disgusting!!!!!
 
Yeye Mwenyewe kwny Issue ya Kibiti, Vita ya dawa za kulevya alikuwa kajificha hata kukohoa aliogopa Sasa hivi kapata kichaka cha kuficha uoga wake ndo anajitokeza
 
Mwigulu Nchemba ni fisi anayewinda urais
bb4761fe6bad40b02483924d9237456c.jpg
 
Back
Top Bottom