BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,507
- 11,883
Hauwezi kabisa,RC kachukua cheo chakeMwigulu Nchemba ni fisi anayewinda urais
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, amesema kama watu waliojihusisha na mchanga wa dhahabu maarufu kama makinikia walitafuta kichaka cha kujificha nyuma ya marais wastaafu, wajihesabie maumivu.
Akiwa jimboni kwake Iramba magharibi kwa ajili ya kusambaza umeme kwenye vijiji mbalimbali amesema kwamba hamna mtu atakayepona katika ishu hii ya makinikia.
Wapo wanaokebehi na kuwataja viongozi hawa wastaafu kwa sababu zao na wengine kwa sababu wanaona wanahusika katika ishu hii na kwamba viongozi hawa hawapaswi kuonewa kwa makosa ya waliokuwa maAgent wa madini. Alisema Waziri Mwigulu Nchemba
Hapo ndipo ninapoipendea CCM katika ku-misallocate resourcesNaomba kuuliza hivi kumbe siku hizi hata Matrafiki nao wanafanya Kazi ya Kumlinda mkubwa akiwa anahutubia badala ya kuwa barabarani kuongoza Magari?
Kukosea kosea ni dhahiri ulichokusudia kilikuwa makinikiaHapa kazi tu
Vizuri anajali ya jimboni kwake, sio wale wengime wao ni kupiga kelele tu jata sijui mliwachagua ili wawafanyie nini!
makaburi yamechungukiwa na kufukiwa tena. Sijui wa kupona labda kwa ubabe. Tatizo ni nguvu iliyomo kwenye taasisi ya urais. Bila kuwepo kwa checks and balance kwa hii mihimili mitatu, tunatwanga maji kwenye kinu. Nitamwona rais wetu kuwa jasiri kwakuliangalia hili kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kweli ameylthubuti, lakini isiwe know wa sababu ni yeye, bali alazimike kikatibaWakifukua makaburi hakuna atakayesalimika..
Wenye elimu kiduchuNani ambaye siku hizi huenda kwenye mikutano ya CCM?