Mwigulu Nchemba: Wezi wamejificha nyuma ya viongozi wastaafu sasa ni maumivu tu

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Mark Zuckerberg akiwa ana mawazo na jibu alilopewa usiku ule, aliwaza sana na mwisho alisema "Nahitaji kufikiria kitu kingine kipya nimtoe akilini mwangu, nahitaji kufikiria kitu kitakachotawala Akili yangu, nahitaji wazo jipya"
alikumbuka maneno ya Kamanda McRaven yaliyosema "If you live like your in the past, the future will never find you"
Akaangalia Desktop yake then, Hapo ndipo Facebook ilipogunduliwa ndani ya Chuo kikuu cha Havard.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, amesema kama watu waliojihusisha na mchanga wa dhahabu maarufu kama makinikia walitafuta kichaka cha kujificha nyuma ya marais wastaafu, wajihesabie maumivu.

Akiwa jimboni kwake Iramba magharibi kwa ajili ya kusambaza umeme kwenye vijiji mbalimbali amesema kwamba hamna mtu atakayepona katika ishu hii ya makinikia.

Wapo wanaokebehi na kuwataja viongozi hawa wastaafu kwa sababu zao na wengine kwa sababu wanaona wanahusika katika ishu hii na kwamba viongozi hawa hawapaswi kuonewa kwa makosa ya waliokuwa maAgent wa madini. Alisema Waziri Mwigulu Nchemba

Chenge ni jemedari wa kashfa Tanzania. Kila dili kubwa na kashfa iliyoikumba serikali yumo. Rada, Dowas, escrow, madini n.k

Huyu jamaa nae sijui vipi. Kazi ya Polepole ingemfaa zaidi. Mambo ya Ndani kumepwaya sana. Badala ya kudeal na ule ufisadi wa Kitwanga na yule Msukuma mwenzie ndani ya Wizara hiyo, yeye kutwa yupo na issue ya Makinikia tu.

Back
Top Bottom