KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,551
- 813
Sahau habari ya vyeti vyake, kwa ufupi huyu bwana ni janga katika siasa za Tanzania kwake siasa ni vita ugaidi visasi na mbinu chafu.
Bila shaka Watanzania wote wenye kuitakia nchi yetu mema, nakupenda siasa za kistaarabu tulizozizoea linapotamkwa jina la Mwigulu hawawezi kuwa comfortable.
Kwa jinsi mkuu anavyomuaminia tusubiri siku kichaa atakapokabithiwa AK47 pale atakapopewa mambo ya ndani au usalama wa taifa,hapo ndipo atajulikana Mwigulu ni nani.