Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

maelezo kuhusu degree ya pili kuwa hakuPata 1st class hayajajitosheleza, rudi katafute evidence uje upya. Pia ilete CV iliyopo kwenye tofuti ya bunge uweke hapa tuone wapi unaposema kadanganya.. Ulete pia CV ya mbowe na lema

Hebu nawe tuletee CV za wazazi wako tuzitafakari na kujua nini kilitokea kabla ya kukuzaa, maana unakera kwa kuleta hoja isiyokuwa mezani kila mara
 
Hata primary alifeli akatumia jina la mwanafunzi mwingine!NI MSHAMBA ALIYEINGIA MJINI

Ebu tutajie jina lake halisi ili kuanzia leo tumwite kwa jina alilopewa na wazazi wake kumbe kawakana hata wazazi wake? Tutajie mkuu tunasubiri kwa bashasha sana
 
leroy Du! Mwishowe Mwigulu atabandika vyeti vyake hapa. Ila nawe umekosea ungeweka basi na GPA yake ya undergraduate na postgraduate.
 
Last edited by a moderator:
anaitwa Lameki Madelu aka ''Dyu-silu''

"Dyu-silu", Du! Umenikumbusha mbali sana, niliwatega sana hao ndege kule kwetu. Wana kawaida ya kutengeneza viota kwa kuchimba chini, wanaweka vinyasi na kutaga mayai.
 
Wivu n ugonjwa usio na tiba ww ulipata ngapi seems ulisoma nae

Hivi kwa nini hoja msizopenda zikitolewa mnakimbilia kusema watu wana wivu? Si muangalie kwanza yanayosemwa na kwa nini yanasemwa? Kwa hiyo watu tuogope kuwaumbua wanaodanganya na kunufaika kwa uongo kisa tutaambiwa tuna wivu.
Hii tuhuma naona inaweza ikawa ya ukweli, nina bwana mdogo wangu kasoma na huyu gulu, kitambo alishatuambia gulu hakuwa na uwezo class kama anavyojigamba! Sikuwa nimefikiri kama ni kweli ama la, ila kwa kuongezeka kwa watu wanaosema hivi basi naanza kuamnini kuwa huyu alikuwa akidoctor matokeo yake kwa lengo hilihili tunaloona leo- mchumi no 1, na mara unaibu waziri si huo kaukwaa
 
Taarifa ni muhimu ili tujue ukweli. Mwigulu anatofauti sana na Mlugo the failure. Mimi ninamuhurumia sana JK kama hawa ndo watu anafanya nao kazi.

Swali: Kwanini huyo Nchemba asisubiri kazi anazozifanya kwa jamii zitangaze hiyo 1st class yake kuliko yeye kuitangaza kweny majukwaa ya kisiasa? Nilijua mwanzoni tu kuwa huyu atakuwa kilaza tu.
So what?..yani umelalaaa, umewazaaa ukaona uje na hili asubuhiasubuhi?
 
maelezo kuhusu degree ya pili kuwa hakuPata 1st class hayajajitosheleza, rudi katafute evidence uje upya. Pia ilete CV iliyopo kwenye tofuti ya bunge uweke hapa tuone wapi unaposema kadanganya.. Ulete pia CV ya mbowe na lema

Maajabu duniani ni mengi mno, na wanadamu huwa na maajabu ktk kuishi kwao; Bw. Sixgates, wewe ni mtu wa maajabu mengi kweli.

Ndg. Sixgates, umekuwa ni mkosoaji ktk mada iliyoletwa na mtu mwingine na, kwa ufahamu wangu, kama unapinga/kukosoa hoja ya mwenzio basi unatakiwa kuleta hoja yenye ushahidi bila shaka ili kulisadia jukwaa hili na mtoa mada binafsi, na sio kuacha maswali mengi ya nani ni mkweli ktk mada inayojadiliwa.

Wasomi huwa na kawaida ya kutafuta ukweli, na sio kwa njia unayotumia wewe kupinga taarifa alizoleta mwenzio bila ushahidi wowote, hebu badilika kidogo na uonyeshe kuwa wewe umekwenda shule na unatumia akili, na sio miguu, ktk kutoa michango yako.

Mathalani, wewe unapinga taarifa ya digrii ya pili (Masters), unaonyesha unajua lolote, unachotakiwa kufanya ni kuleta ushahidi wa ukweli wa digrii hiyo na sio kumrudisha mtoa mada aende kuleta ushahidi wakati ameshatoa hoja yake. Zaidi, unaonekana kutetea taarifa iliyopo kwenye tovuti ya Bunge, kwanini usiende pale chuo kikuu cha DSM ukapata taarifa sahihi na kutuletea hapa?

Hivyo basi, ukosoaji au kujua kwako juu ya elimu ya Mwigulu, ni wewe kutusaidia kwa kuleta vielelezo na sio kuweka malumbano yasiyokuwa na msingi.

Vile vile, tovuti ya Bunge sio mwisho wa kupata taarifa za watu, maana kuna shule na vyuo walivyosoma hao watu ambapo unaweza kupata taarifa sahihi zaidi badala ya kuja kutoa hoja zisizokuwa za kisomi.

Tubadilike katika akili zetu na badala ya kutumia miguu ktk kufikiri kwetu basi tutumie akili zetu ipasavyo.
 
leroy Hapo unaposema alikuwa tawi la Arusha umedanganya sana.......intelijensia ya Chadema imefeli hata habari za ufaulu huna data kwani umshndwa kutuambia point alizopata, punguza kuishi na hasira moyoni utakufa na kihoro.......Mnyika alikiri kudisko mwaka wa 2........au unabisha?
 
Last edited by a moderator:
Katiba ya sasa inasemaje?Je Mwigulu hana sifa ya kuwa waziri au mwanasiasa?Watanzania tunapotoka sana hasa linapokuja suala la viongozi kupewa nafasi za juu,tujiulize Kawawa alikuwa na elimu ya kiwango gani wakati anaachiwa nchi na Mwalimu Nyerere?
Tunaweza kuweka maprofesa na madaktari na kada nyingine zote za elimu katika nafasi za uongozi lakini bado tusipate maendeleo kwani uongozi ni hekima na busara mengine hayo ni nyongeza tu na mbwembwe nyingi za vyeti visivyokuwa na faida kwa taifa.
 
Hivi Mwigulu bado yupo JF au ndo amekipata alichokipata hivyo hana tena haja ya kuleta hoja zake hapa. Kwa kuwa alikuwa anashinda humu nadhani atakuwa anpitapita humu. Njoo ujibu hoja hapa.
 
Hapo unaposema alikuwa tawi la Arusha umedanganya sana.......intelijensia ya Chadema imefeli hata habari za ufaulu huna data kwani umshndwa kutuambia point alizopata, punguza kuishi na hasira moyoni utakufa na kihoro.......Mnyika alikiri kudisko mwaka wa 2........au unabisha?

sijui kwa nini unadhani mleta tetesi ni chadema
 
Mada imewekwa kwa ajili watu tuijadili kma we umeona mtoa taharifa muongo weka taharifa zako kwanza basi tuzione, pia ulikuwa wap mda wote kutoa sifa zake safi kabla ya chafu kitoka? Acha akili finyo dugu zangu tumedanganywa vya kutosha inabidi mm na wewe kuleta mabadiliko kwenye swala hili la uongo ambalo waeshimiwa wengi hapa bongo hufanya ivyo
 
Weka yako na mwenyekiti wako Mbatia usisahau ya Hashimu Rungwe.

huyo dogo mweupe, ngoja nikitulia nitakupa CV yake in full, yeye akilala na kuamka ni mbowe chadema wakat alishasema kajitoa kwenye chama.
 
Back
Top Bottom