Hawajamaliza form four lakini ni kiboko ya maCCM, ni wabunge wa majimbo ambayo ni one of the richest in Tanzania na yenye wasomi wengi.
Mlete professor wako yoyote mwizi na kibaka wa CCM uone kama atashindana nao.
Elimu maana yake nini, kuna watu walikaa wakakubaliana kuwa mtu akikaa darasani akasoma kwa muda fulani tuseme ameachieve this, ni watu, ni watu, ni watu...kumbe mtu anaweza asipite kwenye mfumo huo wa watu na bado akawa ni genious
Elimu ni maarifa aliyonayo mtu yanayomwezesha kuyamudu mazingira yake, wakulima wa pamba mwanza walipata wapi degree, mbona they earn millions of money na wanamudu familia zao na wana impact kwenye uchumi wa nchi kuliko hata hao wasanii wako wa CCM, ambao wapo madarakani kuangamiza uchumi wa nchi.