Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

CHADEMA wameenda na helikopta kuongelea SERA zao
MWIGULU ameenda na gari kuongelea HELIKOPTA ya CHADEMA.

Sasa nani mjinga hapo?!!!
 
Ni bora kutumia Tsh 200M katika kuwaelimisha watanzania kujua haki zao kuliko kutumia Tsh 600M kwa safari za Kikwete kwenda Jamaica kubembea.

CCM wanatumia sh ngapi kupelekana India kwenye matibabu ili hali Hospitali zetu hapa nyumbani ni mbovu na hazina dawa?.

Yani CHADEMA wanatumia m200 kwenda kuwaelimisha wananchi na kutangaza sera zao.
Mwigulu anatumia milioni ?? kwenda kuongelea helkopta ya CHADEMA!! Alafu eti huyo ndiye anayeteuliwa kuwa naibu waziri!!!
 
CHADEMA wameenda na helikopta kuongelea SERA zao
MWIGULU ameenda na gari kuongelea HELIKOPTA ya CHADEMA.

Sasa nani mjinga hapo?!!!
1013165_548810871844995_387610025_n.jpg


Bila shaka atajitokeza Mwigulu akujibu!!
 
Ndugu yangu Mwakisalu...panaponitisha ni hapo alipo zungumzia kuhusu kusababisha vifo....TAFADHALI KAENI CHONJO ISIJE IKAWA NDO WANAANZA YALE MAMBO YAO TENA SI UNAJUA HATA KABLA YA SOWETO ALITOA VIKAULI VYA AJABU AJABU!? kauli za huyu mtu hata kama ameteleza ulimi na kuzitoa kwa bahati mbaya lazima zipewe uzito mkubwa sana ....Sikumbuki kama ametoa pole kwa yaliyosababishwa nao hapo SOWETO...nisaidiwe kukumbushwa
 
kwa elimu yetu hii ya bongo usitishike ukisikia mtu ana GPA ya 1st au upper 2nd,,weng wao ni bure kabisa wakija upande wa utendaji kazi.yan wanafel kuzitetea hizo GPA zao nzur simply bicoz wanafundishwa kukarir.back to the point,,Mtu asijisifu tu (like Mwigulu) ana GPA nzur bal atuambie tangu ameipata hiyo GPA ameifanyia nin kwa field yake ambayo matokeo yake yanaonekana.Na sio aseme anaweza kufanya nini au aliwahi kuwa na cheo gan.We need the results only

Ameshindwa kuinua uchumi wa chama ndiyo ataweza wa nchi !
 
maelezo kuhusu degree ya pili kuwa hakuPata 1st class hayajajitosheleza, rudi katafute evidence uje upya. Pia ilete CV iliyopo kwenye tofuti ya bunge uweke hapa tuone wapi unaposema kadanganya.. Ulete pia CV ya mbowe na lema


safi sana
 
Back
Top Bottom