Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

Tatizo ni kuwa viongozi wengi serikalini wamedanganya elimu zao. Na vilevile hakuna sheria inayowabana wala kuchukuliwa adhabu pindi wanapobainika. Na hill limrchangia sana.kwenye utekelezaji mbovu serikalini. Vilevile hawana uchungu na elimu.

Kweli mkuu. Eti watu kama kina Mulugo wamekwea mpaka uwaziri kwa vyeti vinavyotiliwa mashaka n wakadumu hapo kwa miaka pamoja na malalamiko lukuki
 
Huyu Mwigulu anapenda kujisifu sana kumbe hakuna kitu.

I don't like magambas lakini give it to the guy maana upper second not bad at all ingawaje we know UD graduates wengi hata kuandika CV or kujieleza vizuri is a crisis
 
huyo dogo mweupe, ngoja nikitulia nitakupa CV yake in full, yeye akilala na kuamka ni mbowe chadema wakat alishasema kajitoa kwenye chama.

Mkuu tuwekee yeye amekzana kukosoa wakati NCCR anaishi kwa matumaini
 
Umenena kaka. Kwa mtu yeyoye msomi na mwenye kuona mbali huwa hajidai na elimu yake. Mwigulu ni unaomsumbua ni USHAMBA na hii inatokana na sehemu aliyokulia na malezi gani alipata. Vilevile tukumbuke kuwa pamoja na kielimu chake kidogo alichonanacho hakutegemea kufika hapo alipo. Kwa hiyo kwake ni ndoto na ndoto zikizidi inakuwa fujo ukiwa usingizini. Maana muda mwingine unaweza ukaota unapiga mpira na kweli unarushia mateke uliyelala naye.

Uniachia maumivu ya mbavu. Basi msimwamshe aliyelala ili afurahie ndoto zake.
 
Kwani uliwai kumusikia kawawa anajitangazia elimi take?? Hapa hoja ni kweli mwigulu ni mchumi WA daraja la Kwanzaa!!

Mkuu "mchumi daraja la kwanza" ni cheo cha kiutendaji kazini sio sifa ya elimu darasani. Ni sawa na kusema mtu fulani "meneja mkuu" hicho ni cheo cha kazini ambacho anaweza kushushwa na akawa mkuu wa idara au mfanyakazi wa kawaida. Hivyo katika ofisi aliyokuwa anafanya kazi Mwigulu kuna "wachumi daraja la pili" wachumi daraja la kwanza' ambavyo ni vyeo vya kikazi kadiri mtu anavyopata uzoefu na elimu lakini sio sifa ya cheo cha kusomea darasani. Sasa huyu kwa ushamba wake kachukulia kuwa nafasi ile aliyoshika ni moja ya elimu aliyosomea. Ni kama sasa ambapo alikuwa naibu katinu mkuu wa CCM bara. Hicho ni cheo tu cha kiutendaji ndani ya chama ambacho sasa atakiacha lakini hakiingii kwenye cheti chake cha shuleni. Sasa huyu kwa akili zake kesho akitolewa unaibu waziri wa fedha atajigamba kuwa yeye ni naibu waziri wa fedha namba moja. Anacho kringia kwenye vyeti vyake ni maneno kama "First Class, Upper Second, Lower Second" nk lakini muulize hata sasa kama anacheti cha 'mchumi daraja la kwanza" kama anacho!
 
leroy MIE NITAKUWA WA Mwisho KUJISIFIA ELIMU, kwasababu mtu kuwa na GPA kubwa kunasaidia nn kutatua kero za kiuchumi za wananchi. mwenye uwezo wa kutataua kero za wananchi na uchumi wao ndiye mtu aliyesoma kuliko wote hata kama hana vyeti/hakusoma
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuongezea tu,huyu jamaa A Level alisoma shule ya Mazengo (sasa St John University),EGM na alipata Div II point 12. Mimi nimesoma PCM hapo pia,huyu jamaa misifa ameanza zamani. Ila hayo ndio matatizo ya vilaza.
 
maelezo kuhusu degree ya pili kuwa hakuPata 1st class hayajajitosheleza, rudi katafute evidence uje upya. Pia ilete CV iliyopo kwenye tofuti ya bunge uweke hapa tuone wapi unaposema kadanganya.. Ulete pia CV ya mbowe na lema

University of Dar Es Salaam

[TD="align: center"]Mkuu nenda kamalizia kwanza masomo yako ndo uanze kunyoshea wenzio vidole
[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]BBA[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]2013[/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
 
Mtatumia mbinu zote za kilaghai kama wanazotumia viongozi wenu kufukuzana ndani ya CHADEMA lakini Mwigulu hachafuki.

Toka lini chura akamzuia tembo kunywa maji?.

68469_210861869116049_1231644896_n.jpg

Mwigulu Nchemba akionyesha kadi ya CHADEMA kwenye mkutano kata ya Sombetini, Arusha baada ya waliokuwa wanachama wa CHADEMA kuhama na kujiunga CCM.

Gonga na usome hapa chini,

https://www.jamiiforums.com/chaguzi...mba-aitikisha-kata-ya-sombetini-arusha-2.html
 
Kuna baadhi ya michezo ukishindana peke yako ni lazima uwe mshindi. LEROY kaja kubainisha upotoshaji na uongo anaujitapa nao mwigulu. Sixgate na msalani wamekuja kujibu hoja gan kwenye thread hii? kama mtapita tena nijuzeni(watajwa). Sijawaelewa
 
sixgates anawashwa kila wkt kama kuna hoja ni lazima awaote Mbowe na Slaa. Kipi walikufanya hadi uweweseke hivyo? Tunajua wewe ni kundi moja na mwigulu. Mchumi mwandamizi hawezi kuongea ugoro kila wakati. siasa ni jukumu simplest na kama ameshindwa siasa hawezi kufanya lolote wizarani.
 
MwanaDiwani Bado mnakusanya kadi kwa gharama kubwa na kuishia kushindwa wakati mnatawala?.
 
Last edited by a moderator:
maelezo kuhusu degree ya pili kuwa hakuPata 1st class hayajajitosheleza, rudi katafute evidence uje upya. Pia ilete CV iliyopo kwenye tofuti ya bunge uweke hapa tuone wapi unaposema kadanganya.. Ulete pia CV ya mbowe na lema
Kumbe wewe ni ccm kila siku una andika issue za zitto ...
 
kwanza: Kwamba yeye ni mchumi wa daraja la kwanza kwa maana alipata G.P.A. ya kiwango cha first class (4.4-5).
pili: Kwamba yeye ni alikua mchumi mwandamizi (Senior Economist) wa Benki kuu.


Mbona mada ipo Open and clear alafu watu wanajadili vitu vya ajabu?

Au ndo tuseme all gambaz are pure Ignorant? Maana mkiwekewa mada mnajadili vitu vingine ,mkiwekewa picha hamuoni yani mnatupa kazi ingine ya dhiada iliyotakiwa ifanywe na walimu waliowafundisha kipindi mpo shule.

Watu tupo busy tunapanga mipango thabiti ya kuwaondoa katika umasikini uliokithiri mlioletewa na ibilisi ccm alafu mnaleta utani.

Ebuu tueshimiane.........[/SIZE]
 
Umenisemea..! Na ya SUGU iwekwe hapa tuone kama walimaliza form four!
Pia ya Rahisi aliyesup miaka yote mitatu na kusukumwa na chama kongwe lililokuwa limeshika hatamu!! Alifeli BA economics nikumbushe ile pass fake aliyofojiwa pse!!
 
tumia ubongo katika kufikiri, wapi Mnyika alikiri ku'disco?? mnyika aliacha hakudisco

Tena Chadema Lushoto nyie wanafiki tu mgombea anapita bila kupingwa!......aliulizwa CV yake humu JF anaandika maelezo kibao......mara anamtaja afisa elimu, alipofika elimu ya chuo badala ya kusema alichovuna analeta ngonjera kibao mwenyewe anasema hakufanya baadhi ya mitihani na coursework haikutimia so hana kichwa kumudu masomo ya Chuo ndio maana senate ikamdisco.........watu kibao walijihusiha na siasa chuo na wakaata degree kipindi ambacho yeye amesoma wakiwemo ZZK,Mtatiro,Mwikwabe nk..........Yeye ni Kilaza tu
 
NI KWELI KABISA ULICHOWASILISHA.
lakini at least halingani na MINI KABANG au MZEE WA KENGEZA ambaye yuko TOO LOCAL
 
Back
Top Bottom