Mwigulu Nchemba, umelidanganya taifa?

Mwigulu Nchemba, umelidanganya taifa?

Siamini kama katangaza nia kwa ajili ya kugawa kura za baadhi ya washika dau...!
 
Watanzania cjui tupo vp jamaa kaisha onesha kadaganya mnamg'ang'ania.
 
sio lazima abebe yeye anaweza ikawa alipewa kazi kusimamia project kubwa zihusuzo zege...na mama ntilie sio kama wale unaokula ww wa mbagala ...inaweza kuwa mgahawa mkubwa wenye hadhi
jamani, mbona mnakuwa wagumu kuelewa? amesema amebeba zege, na mkewe alikuwa mama ntilie tena alitukanwa sana na wabeba zege wenzake. namnukuhu, "fikiria unafanya kazi na watu kama wale, na unaona mrembo wako anavyotukanwa"

msikilize kuanza dakika ya 7:25
 
Last edited by a moderator:
Of course nyinyi mliokulia ktk familia za kifisadi hamuwezi kumwelewa Mwigulu uzoefu aliouzungumzia,ila wale waliokulia ktk familia za kikabwela ndiyo waliomwelewa zaidi.Mwigulu was talking to ordinary Tanzanians, his world view about Tanzanian economic development resonates well with ordinary/middle class tanzanians views.

Hehe umepasua
 
Mimi naamini alibeba zege, maana mtu mzima hawaze kudanganya kwa kazi kama hii.

Mm mwenyewe nilishafyatua tofari nikiwa O-Level, Nikauza nyama bucha na Kufundisha tuition. Leo hii nasoma Phd na kazi nzuri nafanya.

Msipende kuendekeza ubishi bila ushahizi nyie watoto wa mafisadi

Wakati unayafanya hayo yote kuna mahali uliajiriwa..?
 
Mwigulu kashasema kuondoa urasimu dawa yke kumuweka mtu mpya na hata akiongea anamaanisha jana nilmuelwa ana kitu anataka kutufanyia watanzania tumpe nafas
 
quote_icon.png
By Chimps Mimi naamini alibeba zege, maana mtu mzima hawaze kudanganya kwa kazi kama hii.

Mm mwenyewe nilishafyatua tofari nikiwa O-Level, Nikauza nyama bucha na Kufundisha tuition. Leo hii nasoma Phd na kazi nzuri nafanya.


Msipende kuendekeza ubishi bila ushahizi nyie watoto wa mafisadi
hakuna mtu anayesomeshwa kwa udhamini wa BoT pale UDSM akabeba zege. punde tu unapomaliza mitihani, ajira inakusubiri eidha chuo au BoT (hata kabla hujamaliza dissertation, hata kabla ya graduation). aje hapa aeleze mazingira yalomfanya abebe zege!
 
Tqtizo kuna watu wanamtetea nankudhani Mwigulu hajadanganya
Nyerere aliharibu fikra. Mtu ukionekana maskini eti ndiyo unakuwa bora! basi wagombea watajilinganisha na maskini, na wa-tz wanaona maskini mwenzao anawafaa. kumbe wanapigwa changa la macho!
 
Kwanza nikupongeze kwa hotuba nzuri uloitoa kizalendo kabisa pale Dodoma, makao makuu ya serikali na chama (kama ulivyojipambanua). Ukasema pia utakapokuwa rais serikali itakuwa tayari imehamia Dodoma, wimbo ulioimbwa miaka zaidi ya 40. Mabadiliko ni Vitendo, Wakati ni Sasa!

Tuyaache hayo, turudi kwenye wasifu wako ulokuwa unasomwa kabla ya wewe kufika kwenye ukumbi wa Mwl. Nyerere. Katika moja ya sifa zako ni utashi na kipaji ulivyokuwa navyo tangu utotoni; kati ya watoto sita kwenye familia yenu, wewe ulikuwa mdogo lakini uliweza kuongoza ndugu zako kwa ustadi kabisa (kwa mujibu wa wazazi wako). Ni kipaji cha kujivunia sana, Masha'Allah! Kiongozi wa hivyo ni hazina kubwa katika taifa.

Kisha, katika wasifu huo, ikaelezwa ulipokuwa sekondari (kidato cha tatu) ulikuwa kiongozi mkuu (tuseme kaka mkuu, au rais wa serikali ya wanafunzi). Bila shaka shule inayosemwa hapa ni Iliboru (kwa mujibu wa wasifu-kazi wako). Ulipata nafasi hiyo baada ya aliyekuwa kaka mkuu kuachia ngazi miezi miwili tu baada ya kuchaguliwa na kupelekea waalimu kukuchagua wewe kuongoza shule. Uliongoza kwa ustadi wa juu sana, ukapendwa pia na wakubwa zako hasa wa kidato cha tano na sita, na baadaye ukatunukiwa cheti cha uongozi bora. Hongera sana!

Ikaelezwa pia ulipohitimu shahada ya kwanza ya Uchumi (BA Economics) ya chuo kikuu cha Dar es Salaam uliongoza kwa kupata alama ya juu kabisa (highest GPA) na kupelekea kupata udhamini wa masomo ya shahada ya uzamili (masters) kutoka BoT. Inafaamika kwamba unapofaulu kwa kiwango cha juu kabisa pale UDSM utapatiwa udhamini wa kuendelea na masomo kutoka BoT, Chuo, au mashirika mengine (nina uzoefu na Idara ya Uchumi). Na ukimaliza 'masters' uhakika wa kazi ni 300%; eidha BoT wakuchukue, kwa kuwa wamekusomesha (hawawezi wakapoteza pesa kukudhamini, halafu umalize ukose ajira), au Wizara ya Fedha, au Chuo (kupitia idara husika) kikuajiri kuwa mkufunzi na baadaye mhadhiri kabisa.

Sasa ndugu yangu Mwigulu Nchemba, kwenye hotuba yako ukasema unajua tatizo la ajira kwa kuwa una uzoefu nalo, eti ulipomaliza 'degree' ya pili ulienda kubeba zege! kheeee, were you serious? au ndiyo kufanya mzaha na vijana wasio na ajira? Eti mkeo akawa mama lishe na wewe ukawa mbeba zege! BoT walikusomesha ya nini? Kwenye wasifu-kazi wako inaonesha mwaka 2006 ulipomaliza 'masters' ulienda BoT na kuwa Mchumi I mpaka 2010 ulipoamua kugombea ubunge. Sasa, hilo suala la kubeba zege limetoka wapi? umewadanganya watazania? Kama ndivyo, uombe radhi basi! Au ufafanue!

Hii boma ya wanansania haiwesi kuongoswa na watoto, sheeee hakuna wasee???
 
Of course nyinyi mliokulia ktk familia za kifisadi hamuwezi kumwelewa Mwigulu uzoefu aliouzungumzia,ila wale waliokulia ktk familia za kikabwela ndiyo waliomwelewa zaidi.Mwigulu was talking to ordinary Tanzanians, his world view about Tanzanian economic development resonates well with ordinary/middle class tanzanians views.

Hakumaanisha hili bro alisema kabeba zege . Let me him out clean uongo katika siasa na spining umepitwa na wakati
 
Of course nyinyi mliokulia ktk familia za kifisadi hamuwezi kumwelewa Mwigulu uzoefu aliouzungumzia,ila wale waliokulia ktk familia za kikabwela ndiyo waliomwelewa zaidi.Mwigulu was talking to ordinary Tanzanians, his world view about Tanzanian economic development resonates well with ordinary/middle class tanzanians views.
elewa, wacha kujitoa ufahamu. anataja mpaka eneo alilofanya hiyo mambo. fuatilia kuanzia dakika ya 7:25
 
Last edited by a moderator:
.....

Tuyaache hayo, turudi kwenye wasifu wako ulokuwa unasomwa kabla ya wewe kufika kwenye ukumbi wa Mwl. Nyerere. Katika moja ya sifa zako ni utashi na kipaji ulivyokuwa navyo tangu utotoni; kati ya watoto sita kwenye familia yenu, wewe ulikuwa mdogo lakini uliweza kuongoza ndugu zako kwa ustadi kabisa (kwa mujibu wa wazazi wako). Ni kipaji cha kujivunia sana, Masha'Allah! Kiongozi wa hivyo ni hazina kubwa katika taifa.."kama hao ndugu zake leo hii nao wangekuwa ni wakubwa fulani, waliofaulu katika maisha kama yeye ningekubaliana na wewe. Maana kama (ashakum si matusi) uko katika kundi la watu mkapewa mtihani ukawa wa kwanza kwa kupata alama ya 50% bado wewe sio bora nje ya kundi hilo!

Kisha, katika wasifu huo, ikaelezwa ulipokuwa sekondari (kidato cha tatu) ulikuwa kiongozi mkuu (tuseme kaka mkuu, au rais wa serikali ya wanafunzi). Bila shaka shule inayosemwa hapa ni Iliboru (kwa mujibu wa wasifu-kazi wako). Ulipata nafasi hiyo baada ya aliyekuwa kaka mkuu kuachia ngazi miezi miwili tu baada ya kuchaguliwa na kupelekea waalimu kukuchagua wewe kuongoza shule.
Kumbe ni kwa sababu kuna nafasi ilijitokeza. Kama angekuwa bora angekuwa amechaguliwa katika nafasi ya kwanza, tena amechaguliwa na walimu! Wengi wetu tuliokuwa Head Prefects kwenye Shule zetu tulichaguliwa na wanafunzi wenzetu! Kumbe huyu ni kupewa uongozi!
Uliongoza kwa ustadi wa juu sana, ukapendwa pia na wakubwa zako hasa wa kidato cha tano na sita, na baadaye ukatunukiwa cheti cha uongozi bora. Hongera sana!
Kwa kuwa amesema yeye hatuna budi kukubali. Kama alipewa uongozi bila shaka alitawala kwa matakwa waliyompa haya madaraka na ni lazima wampe cheti kizuri. Ingefaa tuwasikie walioongozwa naye.

Ikaelezwa pia ulipohitimu shahada ya kwanza ya Uchumi (BA Economics) ya chuo kikuu cha Dar es Salaam uliongoza kwa kupata alama ya juu kabisa (highest GPA) na kupelekea kupata udhamini wa masomo ya shahada ya uzamili (masters) kutoka BoT. Inafaamika kwamba unapofaulu kwa kiwango cha juu kabisa pale UDSM utapatiwa udhamini wa kuendelea na masomo kutoka BoT,
Makubwa! BOT wana vigezo hivi? Nilifikiri UDSM wangemchukua abaki kama TA pale. Mara ngapi tumepata wenye GPA za chini kabisa kutoka BOT wakisajiliwa kwa Masters hapo UDSM. Unadanganya ili nini? Haitoshi kusema umesoma na bila kujikuza!?
Sasa ndugu yangu Mwigulu Nchemba, kwenye hotuba yako ukasema unajua tatizo la ajira kwa kuwa una uzoefu nalo, eti ulipomaliza 'degree' ya pili ulienda kubeba zege! kheeee, were you serious? au ndiyo kufanya mzaha na vijana wasio na ajira? Eti mkeo akawa mama lishe na wewe ukawa mbeba zege! BoT walikusomesha ya nini? Kwenye wasifu-kazi wako inaonesha mwaka 2006 ulipomaliza 'masters' ulienda BoT na kuwa Mchumi I mpaka 2010 ulipoamua kugombea ubunge. Sasa, hilo suala la kubeba zege limetoka wapi? umewadanganya watazania? Kama ndivyo, uombe radhi basi! Au ufafanue!
Haya nalo hili ni ushahidi wa uongo wako Mtangaza Nia! Sio Bora Lowasa anasemea ya moyoni, mbona wewe unasemea ya mgongoni Bwana, Mbona unakuwa ndumakuwili? Umenihuzunisha sana! Nawaza kura yangu iende kwa nani sasa, WASIRA AMENIBORE, LOWASA AMENIOGOPESHA, WEWE UMENIONGOPEA!
 
Hivi ushawahi kusikia Mwigulu akifanya matanuzi au kufanya mambo makubwa au kufanya jambo lolote lile linaloambatana na matumizi makubwa ya fedha tangu aukwae Uwaziri?Jambo pekee ambalo alilifanya Mwigulu labda ni ile ziara aliyoifanya mikoani akaishia kupigwa stop na Kinana kufuatia fitina za Nape.

Mwigulu na Nape hewaivi kisiasa hata kidogo.Sasa kama unafuatilia maisha yake ya kisiasa yalivyo sasa mara baada ya kuukwaa unaibu waziri na kuona jinsi yalivyo ya kawaida tu, yaani hatusikii Mwigulu sijui kaonekana hotel gani au ukumbi gani wa starehe au kajenga mjengo wa maana sehemu flani tofauti na walivyo wenzie then kwanini hutaki kukubali kuwa jamaa hayo maisha aliyoyasimulia kuyaishi ndiyo anayoyaishi?
Tueleze maisha ya anasa ya Joka la Makengeza.........don trust politician mdau
 
Kwa hii CV ya KAKA MKUU wa Primary, sijui Kiranja Mkuu wa Secondary school gani ............... mchumi BOT then Rais wa nchi ni utani wa hali ya juu. Kama walau tu Mwigulu akipata tatu Bora mimi nitashangaa sana!!
 
Mwigulu huwenda alikuwa pia jambazi,sintamsahu walivyomua johnso mbwambo mwenyekiti wa chadema usa river.
 
wewe ni kati ya vijana wengi wale hamnazo

Toa hoja naona toka mwanzo unawaponda wanaotoa hoja na kutoa lugha ya kuudhi. Mi mwenyewe siipendi ccm ila sipendi kujibu hoja zao kwa style yako.
 
Back
Top Bottom