Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,358
- 100,384
Kuna mtu mmoja jana alisema hivi, "Kutafuta mgombea safi toka CCM, ni sawa na kutafuta Bikra kwenye Wodi ya Wazazi...."
Kuna mtu mmoja jana alisema hivi, "Kutafuta mgombea safi toka CCM, ni sawa na kutafuta Bikra kwenye Wodi ya Wazazi...."
​Kuna mahali hatujaelewana tu,ni kwamba huyu jamaa nilomtaja amehusishwa sana na wizi wa pesa za watanzania,ila hana maisha ya anasa kiviiile,so ndo nikasema usimwamini mwanasiasa,anaweza asiwe na maisha ya anasa ila akawa mkwapuaji mzuri sana.................You must be kidding bra, hivi Chenge naye ni mtu wa kumfanyia reference?
Middle class ni wakulima na wafanyakazi mpuuzi wewe, ndiyo ordinary Tanzanians hao.Usifananishe middle class ya America that is predominantly working class,America is an industrial nation. Tanzania is predominantly agricultural society and partly a working class nation. Got me?
Sio ukimaliza masomo unaajiriwa papo hapo utakaa kidogo mtaani aidha kusubiri matokeo au taratibu zingine na wakati huo mfadhili hatakuwa anakupa chochote maana tayari umemaliza masomo mfano vyuo vingi humaliza mihula mwezi wa 6 matokeo hutoka mwezi 9 na graduation hufanyika mwezi wa 11 ili angalau mtu apate cheti aweze kuajiriwa hivyo tangu kumaliza mitihani mpaka graduation ni miezi 4 mpaka 5 kwa mtu mwenye familia lazima uchakarike ili mambo yaende sawa.