yakowazi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 1,771
- 627
kwahiyo wewe unavyokataa kwani wewe ndiyo mzazi wake kwamba unamjua vizuri au ndiyo umbea wa kupinga kila kitu.
Ndugu tumeumba kusikiliza kutafakari na kuhoji tatizo letu tunasikiliza tu na ndio maana tunaburuzwa na akitokea wa kuhoji wengine kama wewe mnatoka mapovu shauri yutu 2015oct.25