Watanzania (hasa vijana) ni rahisi kudanganyika sana. Uwezo wa kufikiri na uelewa wa vijana wengi wa kitanzania ni mdogo sana ndugu yangu, wala usiangaike. Hakuna taasisi yoyote itakayokufadhili masomo, then unapomaliza ukae mtaani. (haipo) make mpaka wakupeleke nafasi tayari ipo, na bajeti yake ilishatengwa tayari. (Mimi nina uzoefu huo kwani nimepitia mchakato huo).
Hapo alikuwa anawakebehi tu vijana wasio na ajira ili wamuone mwenzao. Lakini kwa akili ndogo tu utajua ni usanii (kama wewe ulivyoliona).