Mantissa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 876
- 168
Ukimaliza masomo unaajiriwa papo hapo?
Masters miaka hiyo ukimaliza unakaa mtaaani? Acheni unafiki bhana
Ukimaliza masomo unaajiriwa papo hapo?
hapo kwenye RED....do you mean our expected first lady is..........?
swali ni je, amebebe zege? na inaonekana alipomaliza 'masaters' aliajiriwa BoT moja-kwa-moja!
hakuna mtu anayesomeshwa kwa udhamini wa BoT pale UDSM akabeba zege. punde tu unapomaliza mitihani, ajira inakusubiri eidha chuo au BoT (hata kabla hujamaliza dissertation, hata kabla ya graduation). aje hapa aeleze mazingira yalomfanya abebe zege!
Nyerere aliharibu fikra. Mtu ukionekana maskini eti ndiyo unakuwa bora! basi wagombea watajilinganisha na maskini, na wa-tz wanaona maskini mwenzao anawafaa. kumbe wanapigwa changa la macho!
Mwigulu ni populist tu.
Atasema lolote lile ili mradi apate kura.
Hilo zege alilolibeba, alilibeba wapi huyo?
Of course nyinyi mliokulia ktk familia za kifisadi hamuwezi kumwelewa Mwigulu uzoefu aliouzungumzia,ila wale waliokulia ktk familia za kikabwela ndiyo waliomwelewa zaidi.Mwigulu was talking to ordinary Tanzanians, his world view about Tanzanian economic development resonates well with ordinary/middle class tanzanians views.
kwi kwi kwi kwi kwi....kanikumbusha lile changa la macho la Bi H. Clinton kwamba alikwepa mashambulizi sehemu fulani.....
kwanza huyu Mwigulu alifumaniwa kule Igunga....mzinzi tu huyu....anataka kwenda Ikulu kupeleka uzinzi?....au mmesahahu wandugu?
Watu wengine bwana! Unajua maana ya middle class? Kwa hito ordinary tanzanians qako middle class? Kwanza tanzania kuna kundi la middle class?Jielimize kabla kurumia maneno usiyojua maana yake?
Mkuu. Kumbuka mtu muongo huwa hana kumbukumbu ya kile alichodanganya hata kama ingekuwa ndani ya dakika 10 lazima asahau alichokisema maana ni uongo. Hiyo ni sifa mojawapo ya mtu muongo.
Mwigulu ni tapeli la kisiasa. Amesahau kuwa tunajua alifeli darasa la saba na badala yake akanunua jina la mtu aliyekuwa amefaulu aitwaye Mwigulu.
Mwiguru ni gaidi kama akina Osama na nimuongo tu kwa kawaida na mwaka aliomaliza masters yake kiukwel watz walivyo mabishoo hasa yy hawez beba zege labda kwa miaka hii lkn Mwiguru aliwadanganya Watanzania ili wamuurumie wampe kura lkn Mwiguru ni gaidi