Mwigulu nchemba tena!!

Mwigulu nchemba tena!!

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
220
Reaction score
38
Ndg, wanabodi,
Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea.

Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi tu ya kushindwa kupembua Mambo.

Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.

Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za Mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?

Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.
 
waliorusha bomu Olasiti tutawakata mapembe .........aliwajua kuwa wana mapembe mbona hajahojiwa?
 
umetumwa we gamba!
hiyo chemba ni marufuku kupita Ar
 
Wengi akili zao zimeshikiliwa zinaendeshwa na watu/kundi flani hivi ndiyo maana wanakurupuka kila siku na mambo ya ajabu ajabu,na kushindwa kuchambua mambo kwa kina!!!
 
Ndg, wanabodi,
Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea.

Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi tu ya kushindwa kupembua Mambo.

Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.

Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za Mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?

Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.

Aliye muua Mwangosi ni nani eti? Kam hiyo kauli yako ni makini wangeshawakamata hao unaowaita akina Dk. Ni nani alisema kwamba anayo majina ya wauza unga? Ni nani alitutangazia hadharani kwamba wezzi wa fedha za EPA hawakamatiki na wakikamatwa nchi haitatawalika?

Usisahau kututupia na ka CV kako vile vile ili tujue tunaongea na nani.
 
Thread kama hizi zinasaidia kuimaliza ccm! Huyu anadhani anaitetea ccm kumbe mawazo ya namna hii yanawafanya wananchi waichukie ccm zaidi na kuipaisha CDM!!!
 
Ndg, wanabodi,
Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea.

Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi tu ya kushindwa kupembua Mambo.

Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.

Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za Mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?

Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.

Kama Dr. Slaa ana uwezo wa kuongea kitu na kweli kikafanyika, basi Rais JK ni dhaifu kama alivyosema Mh. Mnyika na sidhani kama atakua na uhalali wa kuendelea kutawala. Serikali ya CCM ina usalama wa taifa, ina jeshi na pia ina jeshi la polisi, inakuaje ishindwe na kauli ndogo kama hiyo ya Dr. Slaa...??
 
Kumbe mnaua ili mrejee ns kusndaa namna ya kuwahadaa watz huku mkijua kuwa mmepoteza mvuto????? Cccm ni sawa namavi. Kamavipi mud nifungie kama kawaida yako.
 
ndg, wanabodi,
zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu mwigulu juu ya matokeo yanayotokea.

Swala la msingi siyo kumlaumu nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni makusudi tu ya kushindwa kupembua mambo.

Nanukuu "ccm imechakachua matokeo, mimi simutambui kikwete na nitahakikisha nchi haitawaliki, dk. Slaa 2010" mwisho wa kunukuu.

Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?

Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.
wakati mwingine kama huna cha kuandika ni bora uwe unasoma thread za wenzio coz huna point hata kidogo,itakuwa umeishia chekechea kielimu
 
Ndg, wanabodi,
Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea.

Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi tu ya kushindwa kupembua Mambo.

Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.

Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za Mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?

Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.

wewe dogo unamithani ya UE unahangaika na savimbi wako vipi carry yako ya Mg 100 ya tangu first year inakuhangaisha madogo wa Udom bwana akili nyuma kujipendekeza kwa magamba mbele......F**k
 
Upuuzi mtupu, mnaua watu kwa tamaa ya kutaka kubaki madarakani huku mkitumia illogical premises kujificha.Kwanini matukio hayo hayatokei mikutano ya CCM? Wale askari na RPC Kamuhanda waliomuua Mwangosi kule Nyololo,Iringa walitumwa na nani? Haiwezekani mkimbie kivuli chenu kwani ukweli tunaujua.Kilichobaki kwa CCM ni kuua wanaopinga ujinga wao.Yuko wapi Prof.Jwani Mwaikusa?
 
Nimeamini Watanganyika ni Vichwa maji kweli kweli. Unamtetea Mwigulu Nchemba na kumkandia Dr. Slaa? Sawa, Dr. alisema nchi haitatawalika. lakini je! Mwangosi ni Dr. alimtenda vile? Mauaji ya Mwaka juzi Arusha, ni Dr. Slaa? Waliotekwa, kuteswa, kung'olewa kucha, macho na meno, ni Dr. Slaa? Dr. alichomaanisha ni kwamba, atafanya kazi kuhakikisha watanzania wanatambua haki zao, na kuzidai. Haki zenyewe ni zipi? Meremeta, EPA, Kiwira, Symbioni, Fedha za Uswis n.k. (na alishalitolea ufafanuzi suala hilo, ila CCM mnalificha suala hilo kwa makusudi). Mauaji na vurugu zinazotokea nchini kwa sasa, hazisababishwi na Dr. Slaa, wala CHADEMA. Bali ni CCM kupitia kwa serikali yake, kupitia kwa Polisi wake. Hivi Dr. Slaa au CHADEMA wajilipue kwa bomu, inawezekana? Wawaue watanzania ili iweje? Nguvu ambayo CCM wanaitumia kuinyamazisha chadema, ni kubwa kuliko kawaida. Na hiyo ni kielelezo cha Utawala uliochoka kimfumo na kifikra na kimaono. Mwaka Juzi, serikali jeshi la polisi liliua kule arusha, likizuia maandamano ya CHADEMA. Siku ya kuaga miili ile, CHADEMA waliorganize ibada zile bila uwepo wa polisi, na hakuna kilichoharibika. Iweje watuambie kuwa mkusanyiko wa Jumamosi ungeharibu upelelezi? CCM, POLICE, SERIKALI, mnatakiwa mtuambie kinagaubaga, kuhusu sababu ya haya yanayotokea, na si kuilaumu CHADEMA. Tumesikia kwenye chaguzi ndogo za jumapili, jinsi vijana wa CCM walivyoteka watu wa chadema kule Arusha makuyuni, sengerema n.k. halafu leo mnakuja kutuambia kuwa VURUGU NA MAUAJI YA TANZANIA CHADEMA WANAHUSIKA?
 
Aingiaye Ikulu kwa kalamu atatoka kwa.... By F. Sumaye. Kwa hiyo unataka kumpa dhambi gani na huyu pia?
 
Ndg, wanabodi,
Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea.

Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi tu ya kushindwa kupembua Mambo.

Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.

Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za Mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?

Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.
Kwa nini mara baada ya Mwigulu na Kinana kutoka China na bomu lililotumika limetengenezwa China na mwaka huu? Mwigulu na yule mfadhili wa Al Shabaab wanahusika kwa kiwango kikubwa katika mlipuko wa Arusha. Ila wana akili za Farao kwa sababu wangejua kufanya hivyo ni kuitangaza CHADEMA wangeacha ili angalau wakumbukwe kwa mema na si kwa mabaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom