Saa hizi ni mida ya gahwa hapo makoroboi,usituchoshe na Savimbi wako
imekuingiaaa
Saa hizi ni mida ya gahwa hapo makoroboi,usituchoshe na Savimbi wako
umetumwa we gamba!
hiyo chemba ni marufuku kupita Ar
Uchafu mtupu. Mpelekee mama yako akasome uchafu wako na sio kutuletea sisi humu JF.
Poor CCM!!
si makosa yako,mungu akusamehe kwa ujinga unaokuandama!!ndg, wanabodi,
zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu mwigulu juu ya matokeo yanayotokea.
Swala la msingi siyo kumlaumu nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni makusudi tu ya kushindwa kupembua mambo.
Nanukuu "ccm imechakachua matokeo, mimi simutambui kikwete na nitahakikisha nchi haitawaliki, dk. Slaa 2010" mwisho wa kunukuu.
Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?
Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.
Thread kama hizi zinasaidia kuimaliza ccm! Huyu anadhani anaitetea ccm kumbe mawazo ya namna hii yanawafanya wananchi waichukie ccm zaidi na kuipaisha CDM!!!
Kumbe mnaua ili mrejee ns kusndaa namna ya kuwahadaa watz huku mkijua kuwa mmepoteza mvuto????? Cccm ni sawa namavi. Kamavipi mud nifungie kama kawaida yako.
Upuuzi mtupu, mnaua watu kwa tamaa ya kutaka kubaki madarakani huku mkitumia illogical premises kujificha.Kwanini matukio hayo hayatokei mikutano ya CCM? Wale askari na RPC Kamuhanda waliomuua Mwangosi kule Nyololo,Iringa walitumwa na nani? Haiwezekani mkimbie kivuli chenu kwani ukweli tunaujua.Kilichobaki kwa CCM ni kuua wanaopinga ujinga wao.Yuko wapi Prof.Jwani Mwaikusa?
Unanadhani nani ana matatizo anayeshindwa kutawala au aliyetabiri kuwa kiongozi atashindwa kutawala!.Ndg, wanabodi,
Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea.
Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi tu ya kushindwa kupembua Mambo.
Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.
Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za Mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?
Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.