utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Slaa na chadema ndio wanaotuharibia amani ya nchi
Alafu mbona CDM mna jazba sana kulikoni
Nchi kutotawalika unachukulia kuwa ni kauli ndogo? ama kweli Kibwetere amaebakiza kuwachinja tu.Kama Dr. Slaa ana uwezo wa kuongea kitu na kweli kikafanyika, basi Rais JK ni dhaifu kama alivyosema Mh. Mnyika na sidhani kama atakua na uhalali wa kuendelea kutawala. Serikali ya CCM ina usalama wa taifa, ina jeshi na pia ina jeshi la polisi, inakuaje ishindwe na kauli ndogo kama hiyo ya Dr. Slaa...??
Ndg, wanabodi,
Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea.
Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi tu ya kushindwa kupembua Mambo.
Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.
Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za Mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?
Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.
TUNAOENDESHWA NA LOGIC tunakuelewa. wale wanaoendeshwa kwa remote za chuki na ushabiki a.k.a umangi watakutukana. subiria matusi bandugu bangu.Ndg, wanabodi,
Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea.
Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi tu ya kushindwa kupembua Mambo.
Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.
Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za Mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?
Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.
Ndg, wanabodi,
Zipo thread nyingi ambazo zinaandikwa na kumtuhumu Mwigulu juu ya Matokeo yanayotokea.
Swala la Msingi siyo kumlaumu Nchemba, hapa naona watz ni wepesi wa kusahau au ni Makusudi tu ya kushindwa kupembua Mambo.
Nanukuu "CCM Imechakachua matokeo, mimi simutambui Kikwete na Nitahakikisha Nchi haitawaliki, Dk. SLAA 2010" Mwisho wa Kunukuu.
Swali! Kwanini hatufikirii kauli hz nzito za Mwanzo na tunafikria leo tu? Nani amewahi kumhoji dk. Kwa kauli yake alimaanisha nini?
Mytake!
That is a political game. Cdm they know each and every thing, but they hide the reality.
ila ccm imepokonywa kata nne juzijuzi!!Uzuri watanzania wanawaona na wanawapuuza
Nchi kutotawalika unachukulia kuwa ni kauli ndogo? ama kweli Kibwetere amaebakiza kuwachinja tu.
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]Aliye muua Mwangosi ni nani eti? Kam hiyo kauli yako ni makini wangeshawakamata hao unaowaita akina Dk. Ni nani alisema kwamba anayo majina ya wauza unga? Ni nani alitutangazia hadharani kwamba wezzi wa fedha za EPA hawakamatiki na wakikamatwa nchi haitatawalika?
Usisahau kututupia na ka CV kako vile vile ili tujue tunaongea na nani.