Kipindi hiki cha 45 kinachoendeshwa na kituo cha ITV kilipoanza mara ya kwanza kusema kweli nilijua ni kipindi ambacho hata wanasiasa watakuwa wanakiogopa kwa maswali magumu na ya kufikirisha. Lakini Mimi niseme wazi kinanikera kwa mambo yafuatayo;
1. Wanaoitwa tangu kianze ni hao hao tu; kwa mfano Lukuvi,Wasira,Mwigulu,Sumayi au kwa kifupi wengi mawaziri;
2. Mtangazaji huwa sijui hajiandai maana hana maswali ya kufikirisha,na hii inasababisha aliyeitwa aanze kuongea tuuu mpaka dakika zinaisha
3. Mtangazaji huwa anaonekana yupo yupo tu,waziri atakavyoongea na yeye hana cha kumuuliza zaidi ya kuitikia
RAI YANGU KWA MTANGAZAJI (BUHOHELA)
Ebu mtangazaji amwangalie Dotto Bulembu wa Star Tv-Tuongee asubuhi atajifunza kitu. Au aangalie kipindi cha HARD TALK kiko nadhani BBC au CNN kama cjakosea.Simaanishi atangaze kama wao,namaanisha ule udadisi wa Mwendesha kipindi na kile mwalikwa anachokiongelea.
Pili,iwe moja kwa moja na si kurekodi nako, inawafanya watazamaji wajisikie vizuri,mambo ya dijitali ni kurusha kipindi live na kusema kweli itapendeza sana.
Kwa kifupi Mimi kibaniboa sana na ITV napenda kuiangalia maana hakina ubunifu wa maswali.
huyo anaomba kura ndiyo maana anasema kwa lugha lain hana kitu kipyaJamaa mwandaaji ------
Huyu kijana sio critical ama ni muaoga ama ananunulika ama sio brain
Naibu wa wizara ndiye msemaji na mjibuji mkuu wa wizara na si waziri,Mwigulu yupo sahihi na bosi wake anawajibika kwa mambo mengine kulingana na majukumu.

Nimeshakuambia mwigulu up stairs kuna bolt hazipoNi kweli unachosema, ila mbona manaibu wengine hawatumii lugha kama za Mwigulu?? Wenzake husema, "Kwa niaba ya Waziri ..... Tutafanya..." Lakini Mwigulu huwa anatoa matamko kana kwamba yeye ndiye authority. Ndipo nasema labda Boss wake ni mzito au ameamua kumfunika makusudi.
Naibu wa wizara ndiye msemaji na mjibuji mkuu wa wizara na si waziri,Mwigulu yupo sahihi na bosi wake anawajibika kwa mambo mengine kulingana na majukumu.
Ndugu wana JF,
Kwa muda sasa nimekuwa nikifatilia kauli za Mh. Mwigulu, kwa kweli napata utata mkubwa. Yani anapoongea inakuwa kana kwamba yeye ndiye waziri Wa fedha. Mara nyingi anatumia kauli kama "nimeagiza..., nimefuta... Nime...." Ila kwa wizara zingine naibu waziri huwa hawaongei kwa mamlaka kama ya Mwigulu.
Kwa mtazamo wangu ni kwamba inawezekana waziri wa fedha ni boya, au Mwigulu anaamua kwa makusudi kumfunika boss wake Na kujitafutia umashuhuri wa kisiasa.
Ni mtizamo tuu!!