samaki2011
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 1,775
- 469
Jana nilikua namsikiliza anadai kwamba waliopata mgao wote wanatakiwa walipe kodi inamaana anahalalisha wizi
serikali nzima ni ya wezi
Jana nilikua namsikiliza anadai kwamba waliopata mgao wote wanatakiwa walipe kodi inamaana anahalalisha wizi
Kipindi hiki cha 45 kinachoendeshwa na kituo cha ITV kilipoanza mara ya kwanza kusema kweli nilijua ni kipindi ambacho hata wanasiasa watakuwa wanakiogopa kwa maswali magumu na ya kufikirisha. Lakini Mimi niseme wazi kinanikera kwa mambo yafuatayo;
1. Wanaoitwa tangu kianze ni hao hao tu; kwa mfano Lukuvi,Wasira,Mwigulu,Sumayi au kwa kifupi wengi mawaziri;
2. Mtangazaji huwa sijui hajiandai maana hana maswali ya kufikirisha,na hii inasababisha aliyeitwa aanze kuongea tuuu mpaka dakika zinaisha
3. Mtangazaji huwa anaonekana yupo yupo tu,waziri atakavyoongea na yeye hana cha kumuuliza zaidi ya kuitikia
RAI YANGU KWA MTANGAZAJI (BUHOHELA)
Ebu mtangazaji amwangalie Dotto Bulembu wa Star Tv-Tuongee asubuhi atajifunza kitu. Au aangalie kipindi cha HARD TALK kiko nadhani BBC au CNN kama cjakosea.Simaanishi atangaze kama wao,namaanisha ule udadisi wa Mwendesha kipindi na kile mwalikwa anachokiongelea.
Pili,iwe moja kwa moja na si kurekodi nako, inawafanya watazamaji wajisikie vizuri,mambo ya dijitali ni kurusha kipindi live na kusema kweli itapendeza sana.
Kwa kifupi Mimi kibaniboa sana na ITV napenda kuiangalia maana hakina ubunifu wa maswali.
Mbali Sana Akamwone Ndugu Dotto Bulendu Wa StarTV. Jamaa Yko Vizuri Sana Yule.
Buhohela huwa hana maswali magumu! I wish angejifunza kwa Amanpur ama kile kipindi cha BBC Hard Talk ... Nahisi huyu Jamaa huwa anavutiwa mshiko kwanza ndo maana anakuwa legelege ...
Ndugu wana JF,
Kwa muda sasa nimekuwa nikifatilia kauli za Mh. Mwigulu, kwa kweli napata utata mkubwa. Yani anapoongea inakuwa kana kwamba yeye ndiye waziri Wa fedha. Mara nyingi anatumia kauli kama "nimeagiza..., nimefuta... Nime...." Ila kwa wizara zingine naibu waziri huwa hawaongei kwa mamlaka kama ya Mwigulu.
Kwa mtazamo wangu ni kwamba inawezekana waziri wa fedha ni boya, au Mwigulu anaamua kwa makusudi kumfunika boss wake Na kujitafutia umashuhuri wa kisiasa.
Ni mtizamo tuu!!
Buholela ana nafuu kuliko yule wa mwanzo. Vipindi vya namna hii ili vinoge vinatakiwa viwe live. Lakini kikishakuwa recorded wanaki-edit.
tangu aondoke Suleimani Semunyu Kipindi hiki kimepoteza ubora wake.hivi Semunyu yupo wapi?
yule buhoera ni bonge la fara hajielewi lile likipindi kake nilakulipia ndio unaalikwa kwenda kupiga polojo sasa makamanda wa chadema wameshazoea kupata majukwa bure bila kuhonga shida ndio iko hapo