Mwigulu ni moja kati ya wanasiasa nchini Tanzania ambao hawajitambui sababu za msingi
1.Mwigulu hatambui dira ya ccm badala yake anafikiri dira ya ccm ni kupambana na mfumo wa vyama vingi ndio sababu inayomfanya jina la Upinzani kutoisha midomoni mwake
2.Mwigulu alidhani kuwa kwa kupita kuchafua barabara zetu,mawe,mapango,na majumba ya watu kwa kujiandikia MWIGULU NCHEMBA RAISI WETU 2015 kungempa kura nyingi kwenye uteuzi wa raisi kumbe alituonesha ni jinsi gani mbavyo hajitambui na hatufai.
3.KUTOKANA NA HOJA HAPO JUU mwigulu alisahau kabisa kuwa mawe hayapigi kura.
4.Mwigulu hana uelewa na siasa za vyama vingi hajui jinsi ya kucheza na siasa za vyama vingi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ndani ya chama chake ndio maana wale wazee hawakumaliza hata sekuNde moja kujadili jina la mwigulu hata kwenye thelathini na tano bora asingeingia
5.Anafuata mawazo ya wanasiasa uchwara kama akina shonza na mwampamba ambao leo wanaitukuza ccm kutokana na kuondolewa kwao ndani ya CDM la sivyo wangekuwa wanaisema CCM vibaya kwenye majukwaa ya siasa na ndio waliomshauri kuwa mawe yangepiga kura
Ningekuwa mpiga kura jimboni kwako kura yangu ungeisikia tu