Mwigulu Nchemba kugombea tena ubunge jimbo la Iramba

Mwigulu Nchemba kugombea tena ubunge jimbo la Iramba

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Baada ya safari ya Magogoni kushindwa kuvuka Manyoni, Ndugu Lameck karudi kuwapigia goti wana Iramba.😀
 

Attachments

  • 1436875797016.jpg
    1436875797016.jpg
    53.7 KB · Views: 5,276
Unadhan hapendi kuendeshwa na kukaa wizarani?? Na kupata posho posho
 
Huyu jamaa nae apunguze
kimbele mbele
coz alikuwa anajua kabisa
kuwa hawezi pata hiyo nafasi
ya kuwa mubwa wa kazi pale
magogoni...

attachment.php
 
Ni haki yake ya msingi kugombea kama alivyo mtanzania yoyote yule, ni jukukumu la wapiga kura kumpa au kumnyima.
 
Kweli nchi imejaa jokers, eti naye alikuwa anataka urais!
 
Katuchafulia barabara huku Mwanza kwa kuandika jina lake. Anaacha kupanua mitandao na njia za kwenda ikulu, yeye anaajiri vijana na kuwapa spray wachore mawe. Akili hizi???
 
Mwigulu ni moja kati ya wanasiasa nchini Tanzania ambao hawajitambui sababu za msingi

1.Mwigulu hatambui dira ya ccm badala yake anafikiri dira ya ccm ni kupambana na mfumo wa vyama vingi ndio sababu inayomfanya jina la Upinzani kutoisha midomoni mwake

2.Mwigulu alidhani kuwa kwa kupita kuchafua barabara zetu,mawe,mapango,na majumba ya watu kwa kujiandikia MWIGULU NCHEMBA RAISI WETU 2015 kungempa kura nyingi kwenye uteuzi wa raisi kumbe alituonesha ni jinsi gani mbavyo hajitambui na hatufai.

3.KUTOKANA NA HOJA HAPO JUU mwigulu alisahau kabisa kuwa mawe hayapigi kura.

4.Mwigulu hana uelewa na siasa za vyama vingi hajui jinsi ya kucheza na siasa za vyama vingi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ndani ya chama chake ndio maana wale wazee hawakumaliza hata sekuNde moja kujadili jina la mwigulu hata kwenye thelathini na tano bora asingeingia

5.Anafuata mawazo ya wanasiasa uchwara kama akina shonza na mwampamba ambao leo wanaitukuza ccm kutokana na kuondolewa kwao ndani ya CDM la sivyo wangekuwa wanaisema CCM vibaya kwenye majukwaa ya siasa na ndio waliomshauri kuwa mawe yangepiga kura

Ningekuwa mpiga kura jimboni kwako kura yangu ungeisikia tu
 
Akafute kwanza uchafu wake barabarani,kwenye mitaro,mawe na madaraja,lasivyo tutamshtaki!
 
Back
Top Bottom