Ngaramu
JF-Expert Member
- May 7, 2009
- 382
- 78
huyo jamaa rais wa baadae anahoja nzito na zilizopangika,,
ni kijana mchanga kwenye siasa lakn yuko vzr kisiasa,
Yuko wapi??????
huyo jamaa rais wa baadae anahoja nzito na zilizopangika,,
ni kijana mchanga kwenye siasa lakn yuko vzr kisiasa,
huyu mheshimiwa naibu waziri wa fedha mwigulu lameck nchemba classmate wangu kapotelea wapi?
Maana tangu apigwe chini kwenye nafasi ya kugombea urais kupitia CCM ndio kapotea jumla mazima, mwenye taarifa zozote atujuze

K 4 LIFE kumbe nawe umesoma soma.
K 4 LIFE kumbe nawe umesoma soma.
Hahaha Pengine wamesoma nae Vidudu
Alikatwa kwa sababu ya kukosa maadili!! Kachafua nchi nzima kwa kuandika mabango kwa mkaa kuwa yeye ni rais!!
Sasa ayafute yote maana hakuna namna!!
Kwakweli mana ninamashaka sna hata hadhi ya kudisco cwez kumpa huyu.