Mwigulu Nchemba kugombea tena ubunge jimbo la Iramba

Mwigulu Nchemba kugombea tena ubunge jimbo la Iramba

huyu mheshimiwa naibu waziri wa fedha mwigulu lameck nchemba classmate wangu kapotelea wapi?

Maana tangu apigwe chini kwenye nafasi ya kugombea urais kupitia CCM ndio kapotea jumla mazima, mwenye taarifa zozote atujuze
Mbona tunasikia kaenda kwa huyo nabii wa Kinaijeria kudai hela yake..sababu nabii alishamtabiria atakuwa raisi wa wadanganyika na sasa kaukosa
 
Mwigulu Nchemba JIMBO alipewa kwa Baraka za David Jairo ...Wazee walikuwa wanamtaka Jairo yeye akaamua kumpa Hiyo fursa ...Mwigulu ...wakati huo Jairo alikuwa busy Kama msaidizi wa KIKWETE

Naona MWAKA huu Jairo kaamua kuingiza timu mwenyewe SASA sijui itakuwaje ...
 
Ameona ccm si chama cha kukifia maana wamemuona hana maadili ndo maana hakukatiza kwenye kamati ya maadili. Na hilo ni doa kubwa kwake manake nafasi ya urais kwa kupitia ccm hatakaa aipate tena.
 
Mwigulu Nchemba JIMBO alipewa kwa Baraka za David Jairo ...Wazee walikuwa wanamtaka Jairo yeye akaamua kumpa Hiyo fursa ...Mwigulu ...wakati huo Jairo alikuwa busy Kama msaidizi wa KIKWETE

Naona MWAKA huu Jairo kaamua kuingiza timu mwenyewe SASA sijui itakuwaje ...

Aende kwa tundu lissu, akachukue fomu, (migulu)
 
kwani si yuko bize kufuta yale maandishi yaliyoandikwa barabarani ya uraisi ya kampeni
Mshenzi katuchafulia sana mazingira na jina lake lile kama tunguli ya mganga
SINA IMANI NA UKAWA
 
Mbona tunasikia kaenda kwa huyo nabii wa Kinaijeria kudai hela yake..sababu nabii alishamtabiria atakuwa raisi wa wadanganyika na sasa kaukosa



Amefanya haraka kwenda kudai kurudishiwa hela labda nafasi ya urais iko ACT afanye haraka ya kuchukua fomu na kubadilisha yale mabandiko ya barabarani.
 
Back
Top Bottom