Halafu mwambieni akafute mawe yote aliyo andika kwamba yeye ni rais wa 2015 aibuuuu!
Huyu alikamatwa na mkemwa mtu gesti hivi iliishaje ile kitu?
Ni haki yake ya msingi kugombea kama alivyo mtanzania yoyote yule, ni jukukumu la wapiga kura kumpa au kumnyima.
Mimi namtakia mafanikio,ingawa hakupata lakini amedhihirisha kuwa ni material
kwani si yuko bize kufuta yale maandishi yaliyoandikwa barabarani ya uraisi ya kampeni