Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Kuna neno ulitaka kutaja katika muainisho wako, lakini umeogopa kwasababu unajua ungepigwa ban!...
 
ZITTO UNACHUKIWA NDANI YA CHADEMA KWA SABABU HIZI

1.Uenyekiti; hawataki kabisa jina la Zitto litajwe kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi ndo maana uchaguzi unapigwa dana dana.

2. Posho; wabunge wengi wa Chadema walikuwa wanapinga posho kwa kufuata mkumbo imefikia kipindi uzalendo umekwisha sasa tunaona ngozi zao halisi mbumbumbu kama Lema wao wanaona Zitto ndo kikwazo cha wao kupata poaho kubwa;

3. RUZUKU viongozi na wanachama wengi wa Chadema hawataki ruzuku zao zikaguliwe na CAG? hilo nalo limewaudhi na kwa sababu Zitto ndo mwenyekiti wa PAC hilo nalo linemwongezea maadui ndani ya Chadema;

4. Mabilioni ya Uswisi wanachadema wengi hawakujua kama katika moja ya watuhumiwa(waliohojiwa) anaweza akawa mwenyekiti wa Chama na kwa kuwa Zitto ndo aliibuwa hii ajenda wanachadema pia limewakera.

5.Urais. hii ajenda ni ngumu na ndio sababu ya kutafutwa roho yako popote ulipo. zitto chukua tahadhari na waroho wa madaraka na wapenda ukubwa.
Kama viongozi wa chadema wangekuwa wanawaza kama zito basi chadema kingefika mbali sana lakini wengine ndani ya chadema hawawazi maendeleo ya chama wanawaza pesa na madaraka tu.
 
Neno gani hilo Mkuu? Nipm ili tushauriane kwamba mwandishi alitaka kusema au kuandika nini
 
Kuna tatizo la msingi kuhusu wana JF wengi waliojiunga tangu 2012.
 
kwa haraka haraka huu uzi umeshaitia ccm hasara ya kama 49000 mpaka jioni inaweza kufika 490000.hongereni.
 
Kweli wewe utabaki kilaza milele, hivi wanachama/viongozi wa CHADEMA wana mandate ya kukataa CAG asikague matumizi ya ruzuku? Na huyo Zitto ni kiongozi wa chama gani? Kuhusu uchaguzi, umesoma katiba ya CHADEMA inaelekeza nini au hisia zako tu? Ni mwalimu nani aliyekufundisha kwamba mfumo wa kugombea Uenyekiti ndani ya CHADEMA unaangalia aina ya majina ya watu waliyopewa na wazazi wao mathalani Zitto badala ya kanuni,taratibu na katiba inayoainisha sifa za wagombea ndani ya chama? Ninyi maCCM mnahaha sana kujaribu divide and rule method kusudi mlete mgawanyiko ndani ya CHADEMA.Kwa taarifa yenu hamtafanikiwa, chama lenu limejaa rushwa na uzandiki mkubwa.Mmesahau magamba yenu yananuka mnahangaika na vipropaganda vya kitoto dhidi ya CHADEMA yanawahusu?
 
Kama viongozi wa chadema wangekuwa wanawaza kama zito basi chadema kingefika mbali sana lakini wengine ndani ya chadema hawawazi maendeleo ya chama wanawaza pesa na madaraka tu.

Kwa hiyo zitto ni kiongozi wa ccm?
 
umeshauriwa na nani kuandika uzandiki huu hapa, tunaomba mods wawe na utaratibu wa kupitia kwanza threads kabla ya kuruhusu kusomwa na members wengine

hii italeta heshima ya jf isionekane kijiwe cha wahuni na palipojaa matusi yaani hakuna ya maana yanayojadiliwa hapa

source ni kama hawa wanaoleta threads ambazo hazina ukweli na za kutungwa tu
 
Kweli wewe utabaki kilaza milele, hivi wanachama/viongozi wa CHADEMA wana mandate ya kukataa CAG asikague matumizi ya ruzuku? Na huyo Zitto ni kiongozi wa chama gani? Kuhusu uchaguzi, umesoma katiba ya CHADEMA inaelekeza nini au hisia zako tu? Ni mwalimu nani aliyekufundisha kwamba mfumo wa kugombea Uenyekiti ndani ya CHADEMA unaangalia aina ya majina ya watu waliyopewa na wazazi wao mathalani Zitto badala ya kanuni,taratibu na katiba inayoainisha sifa za wagombea ndani ya chama? Ninyi maCCM mnahaha sana kujaribu divide and rule method kusudi mlete mgawanyiko ndani ya CHADEMA.Kwa taarifa yenu hamtafanikiwa, chama lenu limejaa rushwa na uzandiki mkubwa.Mmesahau magamba yenu yananuka mnahangaika na vipropaganda vya kitoto dhidi ya CHADEMA yanawahusu?

Kamanda umemuelimisha vya kutosha,napata hofu na uelewa wa siasa za wanachama wa magamba,sijui ni matatizo ya dv 5?
 
ZITTO UNACHUKIWA NDANI YA CHADEMA KWA SABABU HIZI

1.Uenyekiti; hawataki kabisa jina la Zitto litajwe kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi ndo maana uchaguzi unapigwa dana dana.

2. Posho; wabunge wengi wa Chadema walikuwa wanapinga posho kwa kufuata mkumbo imefikia kipindi uzalendo umekwisha sasa tunaona ngozi zao halisi mbumbumbu kama Lema wao wanaona Zitto ndo kikwazo cha wao kupata poaho kubwa;

3. RUZUKU viongozi na wanachama wengi wa Chadema hawataki ruzuku zao zikaguliwe na CAG? hilo nalo limewaudhi na kwa sababu Zitto ndo mwenyekiti wa PAC hilo nalo linemwongezea maadui ndani ya Chadema;

4. Mabilioni ya Uswisi wanachadema wengi hawakujua kama katika moja ya watuhumiwa(waliohojiwa) anaweza akawa mwenyekiti wa Chama na kwa kuwa Zitto ndo aliibuwa hii ajenda wanachadema pia limewakera.

5.Urais. hii ajenda ni ngumu na ndio sababu ya kutafutwa roho yako popote ulipo. zitto chukua tahadhari na waroho wa madaraka na wapenda ukubwa.

Dini yake na kabila lake havina tatizo kweli
 
Hamjui mlitendalo matarajio yenu kamwe hayatatimia vinginevyo mccm ndo burian marehem.
 
Zitto Zuberi Kabwe i will support you till my last breath...
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo ndani ya chadema kuna mgawanyiko wa kutosha na tayari tuna team tatu ambazo zimejigawa kikanda., Hii ni moja ya dalili kuwa Chadema itasambaratika mapema kuliko wengi tulivyofikiri

Sababu kuu ya kusema haya ni hili suala la mahesabu na uchaguzi ndani ya Chadema

Tayari tunajua kuwa Chadema wameingia kambini kuchakachua mahesabu ili wayawakilishe kwenye kamati ya bunge ya mahesabu huku yule aliyewaitisha mahesabu haya akiwa tayari ana data zote za haya mahesabu hivyo hata wakichakachua vipi wataishia kuumbuka tu.

Suala la uchaguzi litaibuka upya soon kwani vijana tayari wameishaanza kuwashitukia viongozi waliopo kuwa ni matapeli.

Nawashauri makamanda wasikubali kufanywa misukule na kudanganywa kitoto bali wasimame na kudai uchaguzi ili wachague viongozi wanaowataka.

TUSUBIRI MHESHIMIWA JEMBE ARUDI KUTOKA SAFARI ......

JITAMBUE

Kitendo cha JF Moderators kupandisha hizo posts kinatafsiriwa kama malicious intention against CHADEMA

Ni vizuri watanzania hata wapenzi wa CHADEMA na wapenda wabadiliko wamejua kinachoendelea
 
Hivi una kazi nyingine zaidi ya hii ya kuwajibia wakubwa zako hapa?
 
Back
Top Bottom