TOURMALINE
Senior Member
- Jan 4, 2013
- 125
- 24
Kwa sasa ni kwamba chadema kimeshakufa.Nasikitika sana mana wanachadema wenyewe ndo mmekiua chama.Sasa tuambieni mtakizikia wapi?
Dini yake na kabila lake havina tatizo kweli
Mzee ndio mbinu mlizokuwa mnafanya... Anyway ukweli hali ni mbaya... tuachane na vyama vijana tujenge nchi yetu kwa namna nyingine.Kitendo cha JF Moderators kupandisha hizo posts kinatafsiriwa kama malicious intention against CHADEMA
Ni vizuri watanzania hata wapenzi wa CHADEMA na wapenda wabadiliko wamejua kinachoendelea
Kitendo cha JF Moderators kupandisha hizo posts kinatafsiriwa kama malicious intention against CHADEMA
Ni vizuri watanzania hata wapenzi wa CHADEMA na wapenda wabadiliko wamejua kinachoendelea
Ndugu zanguni,
Wote tunajua kuwa chadema kwa sasa haifanyi tena siasa bali wako bize na mipasho hapa mtandaoni na magazetini. Viongozi kwa makamanda wote wanarushiana madongo mazito mazito mpaka hata sisi watani tunaanza kuwa na wasi wasi sasa na hatima ya hiki kikundi.
Chadema ni kama nyumba ya barafu tu, iling'ara sana wakati wa baridi lakini sasa jua limeanza kuwaka ina maana joto litaongezeka na matokeo yake itayeyuka kama barafu na kupotea kabisa.
Kwa staili wanayofanya sasa ya kuchanana live hapa jukwaani , mwisho wake ni kumwigambana halafu kila mtu atachukua hamsini zake.
R.I.P CHADEMA
GONE TOO SOON!
![]()
JITAMBUE!
Ukikua utaacha................