Kwa watu wanaojielewa, wenye kutumia vichwa vyao vizuri hawawezi kupost upuuzi kama huu.
Ni mtu mwenye matatizo kichwani anaweza kufanya hivi..
Endelea kujipa moyo wakati barafu ndio inayeyuka hivyoKwa watu wanaojielewa, wenye kutumia vichwa vyao vizuri hawawezi kupost upuuzi kama huu.
Ni mtu mwenye matatizo kichwani anaweza kufanya hivi..
Rambi rambi alizinyakua KAMANDA MSIGWA! sijui kama alizifikisha maana CHADEMA kwa udokozi!!!Rambi rambi za mjane ulizokula zinakutafuna...
Uzushi wakati kila mtu anaona viongozi wako wanavyochanana live hapa jukwaani.Kama kinakufa wewe kinachokuwasha nini??..mchumia tumbo mbeba mabox wa ulaya,unaleta uzushi wa kitoto,ili kutafuta social proof hapa Jf pamoja na vilaza wenzio wa ccm ili muendelee kujitibu kisaikolojia,kumbuka kutofautiana ktk chama ndio kunakipa afya chama.......jipange
Uzushi wakati kila mtu anaona viongozi wako wanavyochanana live hapa jukwaani.
Ingekuwa vyema ungemuita Dr au Dj watoe tamko haraka kabla hali haijawa mbaya zaidi...
Kwa kweli mkuu imenisikitisha sanaNilishajua CHADEMA kitakufa, lakini sikuwahi kujua kuwa itakuwa mapema namna hii!
Ndugu zanguni,
Wote tunajua kuwa chadema kwa sasa haifanyi tena siasa bali wako bize na mipasho hapa mtandaoni na magazetini. Viongozi kwa makamanda wote wanarushiana madongo mazito mazito mpaka hata sisi watani tunaanza kuwa na wasi wasi sasa na hatima ya hiki kikundi.
Chadema ni kama nyumba ya barafu tu, iling'ara sana wakati wa baridi lakini sasa jua limeanza kuwaka ina maana joto litaongezeka na matokeo yake itayeyuka kama barafu na kupotea kabisa.
Kwa staili wanayofanya sasa ya kuchanana live hapa jukwaani , mwisho wake ni kumwigambana halafu kila mtu atachukua hamsini zake.
R.I.P CHADEMA
GONE TOO SOON!
![]()
JITAMBUE!
Mkuu MSALANI mbona mzee Wasira alishaliweka bayana hiloNilishajua CHADEMA kitakufa, lakini sikuwahi kujua kuwa itakuwa mapema namna hii!
Ndugu zanguni,
Wote tunajua kuwa chadema kwa sasa haifanyi tena siasa bali wako bize na mipasho hapa mtandaoni na magazetini. Viongozi kwa makamanda wote wanarushiana madongo mazito mazito mpaka hata sisi watani tunaanza kuwa na wasi wasi sasa na hatima ya hiki kikundi.
Chadema ni kama nyumba ya barafu tu, iling'ara sana wakati wa baridi lakini sasa jua limeanza kuwaka ina maana joto litaongezeka na matokeo yake itayeyuka kama barafu na kupotea kabisa.
Kwa staili wanayofanya sasa ya kuchanana live hapa jukwaani , mwisho wake ni kumwigambana halafu kila mtu atachukua hamsini zake.
R.I.P CHADEMA
GONE TOO SOON!
![]()
JITAMBUE!
Ndugu zanguni,
Wote tunajua kuwa chadema kwa sasa haifanyi tena siasa bali wako bize na mipasho hapa mtandaoni na magazetini. Viongozi kwa makamanda wote wanarushiana madongo mazito mazito mpaka hata sisi watani tunaanza kuwa na wasi wasi sasa na hatima ya hiki kikundi.
Chadema ni kama nyumba ya barafu tu, iling'ara sana wakati wa baridi lakini sasa jua limeanza kuwaka ina maana joto litaongezeka na matokeo yake itayeyuka kama barafu na kupotea kabisa.
Kwa staili wanayofanya sasa ya kuchanana live hapa jukwaani , mwisho wake ni kumwigambana halafu kila mtu atachukua hamsini zake.
R.I.P CHADEMA
GONE TOO SOON!
![]()
JITAMBUE!
Nilishajua CHADEMA kitakufa, lakini sikuwahi kujua kuwa itakuwa mapema namna hii!
Mkuu MSALANI mbona mzee Wasira alishaliweka bayana hilo
Hali tete mkuu,na kamati ya bunge iko njiani kukagua matumizi ya pesa za ruzuku.Babu presha inapanda presha inashuka na sukari inazidi kukolea.Kwa kweli mkuu imenisikitisha sana
I feel sorry kwa Dr kwani kibarua ndio kinaota mbawa hivyo , nani tena atakayempa mshahara wa milioni saba?