Mwigulu Nchemba atema cheche Arusha, asisitiza CCM kuibuka washindi

Afu mleta mada ina maana hukuona daladala zilivyokuwa zinasomba watu kutoka nje ya mji? Mimi mwenyewe nilizikataa elfu tano zao.

Hao mamia uliosema walihudhuria, wapiga kura wa eneo husika pale ni kama 20 au 25 tu na wengi wao ni wa CHADEMA.
 
Nashukuru mmeanza kujikana.Elimisha na wenzako kwamba CHADEMA sio chama cha Kaskazini bali ni cha Kitaifa.

Sasa kama ni cha Kichaga huko kaskazini wamefuata nini? Bila shaka na Nape atakwenda


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu Mtela rudi kwenye taaluma yako siasa noma inakudumaza kifikra. Unapotetea jambo husiloliamini ni unafiki! Huyo Lameck kwa Arusha anatwanga maji kwenye kinu.
 
Froida;6524713[URL="http://3.bp.blogspot.com/-1bYCE57iF10/UbDDmcXTF1I/AAAAAAAABAs/qZL0Ao-fkhY/s1600/DSC06711.JPG" said:
DSC06711.JPG
[/URL]

....hapo juu kimoyo moyo....aiseee kumbe Arusha CCM haipo kabisa !!!!

..kwi kwi kwi alitegemea nyomi ...machalii hawaangali sura jomba huku ni mpela mpela !!
 
nafikiri chadema wanamlegezea sana huyu jamaa kama anatumia huyo msukule wao wa tindikali kukichafua chama, apelekwe mahakamani, halafu hii hoja ya vurugu lazima pia chadema waijibu naona wanaachia sana hawa jamaa mwisho wasiku watu wataanza kuwaamini,
 
Ama kweli ni bora ya nguo zichanike kuliko akili,unaposema mmeweza na mnasonga mbere ni kwa lipi?ccm mmeweza kuua uchumi wa tanzania,mmeweza kuua elimu ya tanzania,mmeweza kuiba madini na wanyama pori na sasa mnazidi kusonga mbere ovyo sana sjui kwanini hamjitambui.
Wewe endelea na longo longo zako. Siyo tatizo lako kwa sababu akili ilipoanzia ndipo ilipoishia kibaya zaidi, hutaki hata kujitoa kwenye hilo box la ujinga.

CCM tumethubutu, tumeweza na sasa tunatenda.
 
Ktk kura elifu 10 zitakazopigwa akipata kura elifu moja mgombea wa ccm hatatueleza kazipata wapi wana arusha
Kumjibu mtu mwenye fikra za kibavicha bavicha kama zako ni kupoteza muda.

Ama kweli bavicha ni janga la taifa
 
Kumbe ni kweli kwamba, jamaa ndiye akichonga mpango wa kum-mwagia tindikali huyo jamaa ili awe ndio CHAMBO chao cha kuitangaza CHADEMA vibaya. Na ndio maana nafsi inamsuta kiasi kwamba ameamua kutembea naye kila mahali!

Na jamaa lilivyo kuwa KB limekubali kufanywa mwana sesere kupandishwa jukwaani liwe maonyesho.

Kweli njaa mbaya kuliko unavyo dhani.
 
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji.

waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai, maji taka na kumwagia watu wasio na hatia tindikali.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.

Man unajikaza tuu kushusha post lakini ukweli unaujua.
 
.....Mnama nakuona unachungulia maumivu.....mtafute mzee wa Hakiiii...akusimulie yaliyomkuta soweto leo!!!
 
hahahahah eti mamia ya watu...dunderheads spin doctors...hawa jamaa nyeusi wanita nyeupe
 
Wewe endelea na longo longo zako. Siyo tatizo lako kwa sababu akili ilipoanzia ndipo ilipoishia kibaya zaidi, hutaki hata kujitoa kwenye hilo box la ujinga.

CCM tumethubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Kimandolu.....3 ( Gumegume + ndoto za ukabila)
Erelai........ 2 (Ndoto za ukabila)
Kaloleni......2 (Rigwaride)
Themi........2 (Ndoto za ukabila)

Tumethubutu...tumeweza na sasa tunatenda!!!!!

.....Jomba hii gia mliotumia imechomoka......
 
Haya ni mawazo ya kibavicha bavicha.

Kaskazini ya wapi?. Kama wangesema kaskazini ya Tanzania ungekuwa na hoja. Kikubwa zaidi, nani alisema kama CHADEMA ni chama cha Kaskazini.

Usilishe watu maneno.

Kweli bavicha ni janga la Taifa.

Huyu yupo timamu kweli?
Keshasahau kuwa ni agenda yao ccm hyo.
 
Sipo sana kwenye mambo ya siasa bt wat I can see ni wa2 2naowapa uongozi either kwenye chama ama ngaz ya kutawala nchi.. Hawajui maana yake, ww mwigulu mavaz unayovaa na ndevu unazozivuga unataka uonekane kama che guevala, sio ss waafrika, unatembea na m2 aliemwagiwa tindikali unataka kuprove nn? Na wanakupa pesa na support ya kufanya hvyo? Hapana aisee,,
 
Wewe endelea na longo longo zako. Siyo tatizo lako kwa sababu akili ilipoanzia ndipo ilipoishia kibaya zaidi, hutaki hata kujitoa kwenye hilo box la ujinga.

CCM tumethubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Na kweli Mmethubutu mpaka Mmeamua Kuweka mashine za kusaga meno ya teMbo!! NiMewavulia KoFia. Karibuni Arusha Mvune AlBu MAJlZl wakubwa nyie
 
Makada wa CCM karibuni sana Arusha kwenye kitovu cha mabadiliko.
Jimbo la Arusha ni 'jimbo darasa' la siasa za mageuzi kupitia CHADEMA.

Tarehe 16-June-2013 tusikimbiane humu jamani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
yangu macho na siasa zenu za kikatili lakini siku zenu zinahesabika ila sidhani kama mtashinda Arusha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom