Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
Meya (kushoto)wa wilaya akiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya wakati wa mkutanohuo viwanja vya shule ya msingi Erelai ARUSHA. |
Meya (kushoto)wa wilaya akiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya wakati wa mkutanohuo viwanja vya shule ya msingi Erelai ARUSHA. |
Wakuu haya ndio majibu ya muheshimiwa wetu pale vijana wanapotilia mashaka uheshimiwa wake. Nimeleta baadhi tu majibizano toka fb
Edna Kitiri Mwigulu, mkeo anajua lugha yako au wanaojua lugha yako ni hawara zako? au tuwataje hadharani? Huna lugha nzuri kabisa km mbunge
2 hours ago via mobile · Like
Mwigulu Nchemba Edna anza jitaje wewe kwanza maana usianzie mbali? Hukufurahia ile lugha? Mwigulu Nchemba Nani amtongoze edna leo kazi ilishaisha tangu yuko ndala teachers college. Yeye anajua
about an hour ago via mobile · Like
- Mwigulu Nchemba Edna unataka kukana? Mbona una kovu kwenye paja lako la kulia. Unaona raha kutaja wa mbali? EDNA KILA SIKU UNASUMBUA
Mwigulu Nchemba Audrey mwache aweke list moja ni yeye wa tangu chuo cha ndala
about an hour ago via mobile · Like
Mwigulu Nchemba Matiku samahani nashangaa alishaolewa bado anaona wivu kuwa mwigulu ana mahawara.
Mwigulu Nchemba Matiku kwa amepata kovu baada ya wewe kumuoa? Alikuwa nalo tangu moshi na chuoni? Kwani wakati unamwoa alikwambia ni bikira?
- about an hour ago via mobile · Like
Mwigulu Nchemba Edna Taja tu sio ajabu anza na wewe. Mimi si ndio nilikutajia wewe. Kwani umejuaje. Samahan nimetaja habari ya kovu nilidhani unabisha
Mwigulu Nchemba Edna mbona siku ile ulisema kovu hilo ulikuwa unaweka mti wa ku support mgomba ulielemewa mkungu wa ndizi
Updates
Mwigulu Nchemba Angela unaongelea damu zipi maana wewe umezoea kuziona kila mwezi.
CCM kweli wa Maajabu.si wanasema CHADEMA ndio chama cha Kaskazini na Wachaga?Sasa wanaenda kutafuta nini tena kama sio Uchokozi?Au wana Ajenda ya Siri?Au Arusha sio Kaskazini?.Wananchi wanapaswa kuwa Macho na hawa Watu
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.
Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji.
waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai, maji taka na kumwagia watu wasio na hatia tindikali.
CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.
Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.
Haya ni mawazo ya kibavicha bavicha.
Kaskazini ya wapi?. Kama wangesema kaskazini ya Tanzania ungekuwa na hoja. Kikubwa zaidi, nani alisema kama CHADEMA ni chama cha Kaskazini.
Usilishe watu maneno.
Kweli bavicha ni janga la Taifa.