Mwigulu Nchemba atema cheche Arusha, asisitiza CCM kuibuka washindi

Mtela Mwampamba

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
537
347
Mh.Mwigulu Nchemba akipokewa na wanachama wa CCM waliojitokeza viwanja vya Shule ya Msingi Erelai kata ya Erelai mkoani Arushahii leo wakati wa kampeni za kumnadi Mgombea Udiwi kwa tiketiYA CCM Mwalim Emanuel Laizer

Meya (kushoto)wa wilaya akiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya wakati wa mkutanohuo viwanja vya shule ya msingi Erelai ARUSHA.

Mamia ya wananchi wakisikiliza sera za Mgombea wao pamja na hotuba ya Mh.mwigulu Nchemba.

Naibu katibu mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba akiomuonesha moja ya vijana waliojeruhiwa kutokana na siasa chafu za vyama vya upinzani.hapa Mwigulu anasisitiza siasa zio vita.Siasa ni amani na utulivu wapuziwe wote wanaohamasisha vurugu hapa nchini


Makada wa CCM Juliana shonza na Mtela mwampamba wakifuatilia mkutano huo kwa karibu.

Huyu ndiye mgombea wa Udiwani kata ya erelai Arusha mjini.Ndugu Mwalimu emmanuel Laizer.Mgombea huyu kwa tioketi ya CCM ameomba apewe kura za kutosha iliawaletee maendeleo wanakata ya Erelai.Amesisitiza ameshaanza kufuatilia miradi ya madarasa 4 ya shule ya sekondari elerai pia mradi wa maji upo unaelekea kumalizika.

Mamia ya watu hasa wanachama wa CCM walijitokeza kwenye mkutano huuo kusikiliza sera za chama chao.Katika moja ya mambo ambayo Mh.Mwigulu chemba amewaomba wananchi hawa ni kutovipa nafasi vyama vinavyoshabikia uvunjifu wa amani..

Naibu katibu mkuu wa CCM mh.mwigulu Nchemba akimnadi mgombea udiwani wakati wa mkutano huo hii leo.Anasisitiza wananchi wamchague Emmanuel Laizer wa CCM kwasababu ndiye anayeweza kuwaletea maendeleo nasio maandamanio ya kuvuruga amani ya nchi.Mh.Mwigulu nchemba amesisitiza wanaarusha kutorudia makosa ya kuchagua chama chama cha upinzani kinachohubiri vita na umwagaji damu kupitia maendeleo.Amewaomba wanachama wa CCM kata ya Erelai kujitokeza kupiga kura kwa wingi,Kupiga kura ndio kiboko ya hawa wanaovuruga nchi.Pia ameenda mbali kwa kusema ccm ipo madarakani na ina sera zilizowazi ambazo zinatekelezwa na serikali ya CCM.
 
Yani hao wananchi wa kuhesabu ndio unasema mamia...sio makumi hao? Halafu huyo mgombea wenu anaonyesha kachoka, naona kashika vikaratasi utadhani anachangia kikao cha kutoa posa. Pumbavu zenu!! Mwambie huyo Mwigulu akanyoe na hayo madevu, anaonekana kama babu wa miaka mia. Na nyie waliberali yaani wewe na Mtela na Shonza mtaendelea kufuata sera za uliberali mpaka lini? Na ndio maana wewe Mtela kazi yako ni kucheka cheka tu...Kazi ya Mliberali mwenzio Mwigulu Chemba.
 
Hapo hakuna kampeni, ni mipango ya hujuma na ujambazi...you just wait and see terrible events...
 
Nani aliyesema ni upinzani walimwagia tindikali. Usihukumu na wewe isije ukahukumiwa. Hizi ndo
siasa za chuki zinapandikizwa kwa wanajamii
 
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji.

waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai, maji taka na kumwagia watu wasio na hatia tindikali.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.
 
Tutafutie majibu ya hii kitu
Wakuu haya ndio majibu ya muheshimiwa wetu pale vijana wanapotilia mashaka uheshimiwa wake. Nimeleta baadhi tu majibizano toka fb


  • Edna Kitiri Mwigulu, mkeo anajua lugha yako au wanaojua lugha yako ni hawara zako? au tuwataje hadharani? Huna lugha nzuri kabisa km mbunge
    2 hours ago via mobile · Like

  • Mwigulu Nchemba Edna anza jitaje wewe kwanza maana usianzie mbali? Hukufurahia ile lugha? Mwigulu Nchemba Nani amtongoze edna leo kazi ilishaisha tangu yuko ndala teachers college. Yeye anajua

    about an hour ago via mobile · Like
    • Mwigulu Nchemba Edna unataka kukana? Mbona una kovu kwenye paja lako la kulia. Unaona raha kutaja wa mbali? EDNA KILA SIKU UNASUMBUA

    • Mwigulu Nchemba Audrey mwache aweke list moja ni yeye wa tangu chuo cha ndala
      about an hour ago via mobile · Like

    • Mwigulu Nchemba Matiku samahani nashangaa alishaolewa bado anaona wivu kuwa mwigulu ana mahawara.

      Mwigulu Nchemba Matiku kwa amepata kovu baada ya wewe kumuoa? Alikuwa nalo tangu moshi na chuoni? Kwani wakati unamwoa alikwambia ni bikira?
      • about an hour ago via mobile · Like

      • Mwigulu Nchemba Edna Taja tu sio ajabu anza na wewe. Mimi si ndio nilikutajia wewe. Kwani umejuaje. Samahan nimetaja habari ya kovu nilidhani unabisha

        Mwigulu Nchemba Edna mbona siku ile ulisema kovu hilo ulikuwa unaweka mti wa ku support mgomba ulielemewa mkungu wa ndizi

Updates

Mwigulu Nchemba
Angela unaongelea damu zipi maana wewe umezoea kuziona kila mwezi.
 
CCM kweli wa Maajabu.si wanasema CHADEMA ndio chama cha Kaskazini na Wachaga?Sasa wanaenda kutafuta nini tena kama sio Uchokozi?Au wana Ajenda ya Siri?Au Arusha sio Kaskazini?.Wananchi wanapaswa kuwa Macho na hawa Watu.
 
Mwigulu hana moral Authority kuwaambia watu wa arusha kuwa wafanye siasa zisizomwaga damu.vp siasa zake za uchochezi wa kijamii na kikabila huku akiwa na Skandal la kupanga vurugu..Mwampamba vp wewe naskia umetambulishwa ktk shule ya kata Duka Bovu Monduli Ufundishe Sayansikimu.Njaa mbaya
 
HIVI kuna mwanaJF anawezapata vedio ya huyu jamaa?

4.%2BLivingstone%2BLusinde%2Baka%2BKibajaji%2Bakihutubia%2BMakiba.jpg
 
CCM kweli wa Maajabu.si wanasema CHADEMA ndio chama cha Kaskazini na Wachaga?Sasa wanaenda kutafuta nini tena kama sio Uchokozi?Au wana Ajenda ya Siri?Au Arusha sio Kaskazini?.Wananchi wanapaswa kuwa Macho na hawa Watu

Haya ni mawazo ya kibavicha bavicha.

Kaskazini ya wapi?. Kama wangesema kaskazini ya Tanzania ungekuwa na hoja. Kikubwa zaidi, nani alisema kama CHADEMA ni chama cha Kaskazini.

Usilishe watu maneno.

Kweli bavicha ni janga la Taifa.
 
hv huoni aibu kumnadi mwanaume mwenzio namna hyo??? fanya kazi kijana usiudhalilishe utu wako
 
Kwa kifupi ngwigulu nchemba anawaambia wananchi wasivipe kura vyama vyenye 'moyo' bali wakipe kura chama chenye 'meno'
 
Ktk kura elifu 10 zitakazopigwa akipata kura elifu moja mgombea wa ccm hatatueleza kazipata wapi wana arusha
 
Watu 62 nadhani ameipata kwamba Arusha sio iramba kwa wahongwa chumvi
 
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji.

waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai, maji taka na kumwagia watu wasio na hatia tindikali.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.

Ama kweli ni bora ya nguo zichanike kuliko akili,unaposema mmeweza na mnasonga mbere ni kwa lipi?ccm mmeweza kuua uchumi wa tanzania,mmeweza kuua elimu ya tanzania,mmeweza kuiba madini na wanyama pori na sasa mnazidi kusonga mbere ovyo sana sjui kwanini hamjitambui.
 
Hahaaaaaa!
Sasa mkutano umehudhuriwa na makada wageni hakuna hata wenyeji lol!
Kweli ccm imakufa Arusha! Ujio mkubwa watu 30

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Haya ni mawazo ya kibavicha bavicha.

Kaskazini ya wapi?. Kama wangesema kaskazini ya Tanzania ungekuwa na hoja. Kikubwa zaidi, nani alisema kama CHADEMA ni chama cha Kaskazini.

Usilishe watu maneno.

Kweli bavicha ni janga la Taifa.

Nashukuru mmeanza kujikana.Elimisha na wenzako kwamba CHADEMA sio chama cha Kaskazini bali ni cha Kitaifa.
 


Mtela ana nawiliJuliana mzigo mzito anabonyea mashavu pole dada huyu mwigulu ni trekta
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom