Mwigulu Nchemba atema cheche Arusha, asisitiza CCM kuibuka washindi

Jamaani huyo kijana wa igunga alitemwagiwa tindikali inakuwaje kila mkutano yupo. Waliofanya huo ukatili hawajakamatwa?
 
Nafikiri alikuwa sahihi kusema kwamba wananchi wasikichague chama kinacholeta vurugu. Siku zote chama kinacholeta vurugu ni Chama cha Mapinduzi na serikali yake, kinaamuru polisi kuuwa wananchi wasiokuwa na hatia lengo tu ni kukidhoofisha CHADEMA lakini kila mbinu wanayofanya inashindikana. Mwigulu kila mbinu anayofanya haifanikiwi sijui CCM wanamwamini kwa lipi? mpaka sasa hivi mipango yake imesababisha mauaji ya watu 7 na majeruhi 3 mmoja wapo ni huyo anayetembea naye kila sehemu. amemfanya kama mdori wake au kinyango cha kuonyeshea kwa watu wakati ni mbinu zake chafu mpaka akamwagia tindikali kijana wa watu bila kosa. Jiulizeni ni nani aliyekamatwa kuhusiana na issue hiyo! hawawezi kumkamata maana na yeye ni sehemu ya serikali. Mwigulu hakuna alichofanikiwa ndani ya CCM anamaliza pesa zao tu, kila mission anayofanya ina abort. Mbinu ya uchonganishi imeshindwa, Kutuma ujumbe feki wa simu umeshindwa, Ukabila (chama cha Wachaga) imeshindikana, Kuua watu kwenye mikutano ya CDM imeshindwa, kumwagia tindikali imeshindwa, Ugaidi imeshindikana na Udini nayo imeshindwa.
 
Tatizo lako Mwambamba siasa kwako ni kujikomba kwa watu, huna dira inayokuongoza na kukumbambanua wewe kama wewe. Ulianza na Zito sasa upo na Mwigulu.
Izo hoja unazozisema za chama cha vurugu, umwagaji damu nk yanafahamika kuwa ni propaganda(Uongo) kama nakosea niambie wapi CHADEMA waliandamana na kufanya vurugu alafu tujadiliane.
Pili uzi umeuandika wewe alafu unajitaja ndani kama mtu wa tatu.
Kwa faida yako uwezi kutimiza ndoto zako kisiasa kwa staili unayoifanya wewe ya kutumika na wengine, jipambambanue wewe kama wewe kiitikadi, kifikra na kimawazo alafu jiamini na ujifunze siasa sio kuwa dekio la wanasiasa.
 
Nafikiri alikuwa sahihi kusema kwamba wananchi wasikichague chama kinacholeta vurugu. Siku zote chama kinacholeta vurugu ni Chama cha Mapinduzi na serikali yake, kinaamuru polisi kuuwa wananchi wasiokuwa na hatia lengo tu ni kukidhoofisha CHADEMA lakini kila mbinu wanayofanya inashindikana. Mwigulu kila mbinu anayofanya haifanikiwi sijui CCM wanamwamini kwa lipi? mpaka sasa hivi mipango yake imesababisha mauaji ya watu 7 na majeruhi 3 mmoja wapo ni huyo anayetembea naye kila sehemu. amemfanya kama mdori wake au kinyango cha kuonyeshea kwa watu wakati ni mbinu zake chafu mpaka akamwagia tindikali kijana wa watu bila kosa. Jiulizeni ni nani aliyekamatwa kuhusiana na issue hiyo! hawawezi kumkamata maana na yeye ni sehemu ya serikali. Mwigulu hakuna alichofanikiwa ndani ya CCM anamaliza pesa zao tu, kila mission anayofanya ina abort. Mbinu ya uchonganishi imeshindwa, Kutuma ujumbe feki wa simu umeshindwa, Ukabila (chama cha Wachaga) imeshindikana, Kuua watu kwenye mikutano ya CDM imeshindwa, kumwagia tindikali imeshindwa, Ugaidi imeshindikana na Udini nayo imeshindwa.
Mkuu huyu Mwambamba hajitambui yeye ni nani na siasa maana yake nini.
Mbaya sana binadamu kushindwa kujisimamia wewe kama wewe na kua na msimamo wako binafsi. Siasa kwake kaifanya kama ajira, njaa inampelekesha mpaka anashindwa kukontrol utu wake.
Binafsi namuonea huruma huyu mtu anatamani sana awe mwanasiasa maahiri lakini hajui namna ya kutimiza ndoto zake.
 
Yani hao wananchi wa kuhesabu ndio unasema mamia...sio makumi hao? Halafu huyo mgombea wenu anaonyesha kachoka, naona kashika vikaratasi utadhani anachangia kikao cha kutoa posa. Pumbavu zenu!! Mwambie huyo Mwigulu akanyoe na hayo madevu, anaonekana kama babu wa miaka mia. Na nyie waliberali yaani wewe na Mtela na Shonza mtaendelea kufuata sera za uliberali mpaka lini? Na ndio maana wewe Mtela kazi yako ni kucheka cheka tu...Kazi ya Mliberali mwenzio Mwigulu Chemba.

Povu la nn la kutoka ? Kwa jinsi ulivyokuwa hujui siasa za nchi hii, tangia lini CCM ikawa Chama Cha kileberali? Kwa kukufahamisha tu CCM ni mlengo wa kikomunisti. Njoo home kwangu Leo usiku nikufundishe siasa na uhakika utajua tu, usikate uje.
 
KWELI CHADEMA WABUNIFU,ccm leo hii mnashona kama CHADEMA? SI MLIKUWA MNAPONDA SARE ZA CDM LEO NAO MNAZIVAA KWELI UNAFIKI HUONEKANA HAPAHAPA DUNIANI
 
Du, Naona Kila Mwigulu anapokanyaga na Nyie Mmo, kwa Shonza hatuna haja ya kuhoji, ila kwako wewe Mtot wa Kiume!!!
Unawasikitisha sana Baba na Mama yako

Yaaan ukifananisha Gharama alizotumia Mwigulu Kuja Huko Arusha na Hivyo Vijikaratasi anavyotumia Mgombea kama Desa kwa kweli inatia Aibu na Kuhuzunisha Kwa Kiwango cha hali ya Juu sana
 
HIVI kuna mwanaJF anawezapata vedio ya huyu jamaa?

4.%2BLivingstone%2BLusinde%2Baka%2BKibajaji%2Bakihutubia%2BMakiba.jpg

Inapatikana kwenye jukwaa la chaguzi ndogo ndani ya jukwaa la siasa!
 
CCM oyeeeeeeeeee nina uhakika wote walioko hapa watapiga kura na ndiyo chachu ya ushindi wetu wanaCCM. CCM forever........
 
Back
Top Bottom