Mwigulu Nchemba anaaibika hapa Gairo...

Mwigulu Nchemba anaaibika hapa Gairo...

ImageUploadedByJamiiForums1399825985.119372.jpg
 
Ndio nini sasa.,picha hii ni ya nini, inamuonesha nani..? mods naomba hawa watu wasituharibie utaratibu hapa.

Naona kidume chako kimeguswa umeingia haraka, lakini si nasikia amekutosa ila wewe bado unajipendekeza unatakiwa ujue pale CCM unapogongwa ndio ujue umeishatumika hivyo.
 
Kuchinja sio sawa na kunyonga, CCM wanayo kazi WANANCHI WAMEKWISHASEMA BASI
 
Taratibu dada, mbona kuna watu wakiguswa unakuja sana juu?? Twende pole pole.

Binti wa watu kaja mbiombio kujaribu kupoza, lakn wapi...! Watu wa Gairo wameamka mno... Leo Nchemba kashuhudia zomea zomea waz waz uwanjani
 
Ndio nini sasa.,picha hii ni ya nini, inamuonesha nani..? mods naomba hawa watu wasituharibie utaratibu hapa.

""Acha kulialia,kinachokushangaza nini sasa?Chama cha magamba maji yako shingoni, baada ya kuzaliwa UKAWA ndio kabisaaa hoi bin taaban"
 
Watu wengine wanaoleta mada ni wazi kabisa ni walevi mada hata haieleweki picha hazioneshi mtu yeyote sijui kazipata wapi.
 
Watu wengine wanaoleta mada ni wazi kabisa ni walevi mada hata haieleweki picha hazioneshi mtu yeyote sijui kazipata wapi.

Labda kama ni kipofu,picha ziko peupe kama pua yako inavyoonekana kila mtu maana ipo kama ya swine.
 
Mbwatukaji shonza alivyowaihi kutia timu kutetea mvua vyupi wake!!
 
Ndio nini sasa.,picha hii ni ya nini, inamuonesha nani..? mods naomba hawa watu wasituharibie utaratibu hapa.

Tatizo dada mkuki kwa nguruwe...walisema wahenga.Pole,waache watu watoe vya moyoni.
 
Back
Top Bottom