Mwigulu Nchemba anaaibika hapa Gairo...

Mkuu tupia kapicha tuone gaidi anavyo aibika mana anajua watanzania ni wale wa enzi ya mwalimu,
 
Ndio nini sasa.,picha hii ni ya nini, inamuonesha nani..? mods naomba hawa watu wasituharibie utaratibu hapa.

Pole mama, inauma eeh!! Kwi kwi kwi... Baba kijacho anatoa macho haamini
 
Attachments

  • IMG00859.jpg
    IMG00859.jpg
    12.7 KB · Views: 3,355
Safi sana taratiibu wakaguru tunaanza kujitambua nasikia wanang'oa kucha kuwa makini bwana mdogo
 
Labda jimbo Lao ni Kati ya yale yaliyopo motoni alichosema mbunge wa Nkasi na huyo mbunge wao alikaa kimya bila kuwatetea!! Pole pole wananchi wanaamka usingizini
Jimbo la Gairo ni kama Mikumi tena yote ya huko huko Morogoro! Majimbo haya yana wabunge wa kubumba wasioweza changia lolote. Unapokuja uchaguzi hutumia fedha nyingi kuwahonga watu ili wachaguliwe! Inasikitisha kuona majimbo yenye wasomi kibao kuongozwa na mapungazeze hawa.
Nafurahi kuona salsa wananchi wameamka na kujitambua. Bila shaka hawatafanya makosa tena 2015.
 
Nimejulishwa kwamba Mbunge huyu Shabiby leo kapeleka mikate makanisani, vituko tupu
 
Kweli mkuu. Hiyo mbona issue ndogo tuuuu! Anachukua tu mabasi na malori ya Shabibi yakafuate watu Moro mjini na vitongoji vyake, Dumila, Kilosa na Dodoma.
 
Jimbo la Gairo ni kama Mikumi tena yote ya huko huko Morogoro! Majimbo haya yana wabunge wa kubumba wasioweza changia lolote. Unapokuja uchaguzi hutumia fedha nyingi kuwahonga watu ili wachaguliwe! Inasikitisha kuona majimbo yenye wasomi kibao kuongozwa na mapungazeze hawa.
Nafurahi kuona salsa wananchi wameamka na kujitambua. Bila shaka hawatafanya makosa tena 2015.

Sio wapogoro, Watanzania kwa ujumla. Kofia, kanga vitenge, fulana vikimwagwa wanabadilki. These are like sacks of potatoes- aliwabatiza Lenin maana they never contribute anything in revolution!
 
Mwigulu haonagi aibu ng'o! Na sasa kwa kuwa maaskofu wamemfagilia kwa hiyo kama maharage ya mbeya kalainika nyooooooooooooogoro! Ati ni kiongozi aliyetumwa na Mungu. Watu wa dini bana, wazugaji wazuri sana.
 
Ina maana huko kanisani mapadre wameishiwa hata mikate ya chai asubuhi?

Makanisa yamepokea na kwenda kuigawa kwa watu wenye shida.... Kuna kiongozi mmoja wa dini kasema ".... hatupo tayari kuuza utu wetu kwa mkate.... tena mwingine akasema hata yesu alikataa kugeuza jiwe kuwa mkate"
 
Back
Top Bottom