MPANDA Jr
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,295
- 157
Nipo hapa laiv, ndo mwigulu, kaingia pamoja na mbunge na mkuu wa wilaya ya Gairo... Watu ni wachache mno na mbaya zaidi hata wanaposema "ccm oyeee" watu kimyaa mpaka katibu wa ccm mkoa kakaukiwa koo... Mbunge ndo kimbembe kwake watu kimyaaa. Ntaleta picha