Mwigulu Nchemba anaaibika hapa Gairo...

Mwigulu Nchemba anaaibika hapa Gairo...

Nipo hapa laiv, ndo mwigulu, kaingia pamoja na mbunge na mkuu wa wilaya ya Gairo... Watu ni wachache mno na mbaya zaidi hata wanaposema "ccm oyeee" watu kimyaa mpaka katibu wa ccm mkoa kakaukiwa koo... Mbunge ndo kimbembe kwake watu kimyaaa. Ntaleta picha

attachment.php

Unawekaje picha ya masaa 5 kabla yamkutano kuanza ambao hata Mweyekiti wa CCM wa taa ule hajafilka halafu utwambie ndio Mwigulu anahutubia. Bavicha bwana sijui tuwatupe wapi?
 
Hakuna alichowatetea miaka yote huwa hachangii yuko bize na mabasi yake kaona uchaguzi mwaka kesho anataka kumake headlines kwenye news.

Sasa na mbunge wao wanamchukia wakati anawatetea Bungeni?
 
Back
Top Bottom