Wanajf nipo nasoma hapa nasoma gazeti la LE OBRESS linalochapisha mjini Paris Ufaransa limemtaja katibu wa fedha na uchumi wa CCM ndugu Mwigulu Mchemba kuwa wakati anafanya kazi benki kuu ya Tanzania(BOT) alishiriki kwenye wizi wa EPA 2005 ambapo alikisaidia chama chake cha CCM kukwapua mabilioni ya shilingi ambazo walizitumia kwenye uchaguzi mkuu wa 2005.Chama cha mapinduzi kilimuahidi kumpa ubunge pia cheo ndani ya CCM..Pia gazeti hjli limesema kuwa wale watuhumiwa wa EPA waliohukumiwa vifungo Farijala Hussein na ndugu yake walimtaja Mwigulu kama mtu mmoja wapo aliyewasaidia kukwapua fedha kutoka benki kuu lakini walipomtaja tu ikulu iliingilia kumkingia kifua kwa kuwa angewaumbua wakubwa wengi.
any Link?