Mwigulu Mchemba alishiriki kwenye wizi wa EPA.

Wanajf nipo nasoma hapa nasoma gazeti la LE OBRESS linalochapisha mjini Paris Ufaransa limemtaja katibu wa fedha na uchumi wa CCM ndugu Mwigulu Mchemba kuwa wakati anafanya kazi benki kuu ya Tanzania(BOT) alishiriki kwenye wizi wa EPA 2005 ambapo alikisaidia chama chake cha CCM kukwapua mabilioni ya shilingi ambazo walizitumia kwenye uchaguzi mkuu wa 2005.Chama cha mapinduzi kilimuahidi kumpa ubunge pia cheo ndani ya CCM..Pia gazeti hjli limesema kuwa wale watuhumiwa wa EPA waliohukumiwa vifungo Farijala Hussein na ndugu yake walimtaja Mwigulu kama mtu mmoja wapo aliyewasaidia kukwapua fedha kutoka benki kuu lakini walipomtaja tu ikulu iliingilia kumkingia kifua kwa kuwa angewaumbua wakubwa wengi.

any Link?
 
Uzushi mtupu,Mwigulu mwaka 2005 ndio mwaka alopata ajira Bot kwani alimaliza chuo mwaka 2004 degree ya kwanza ya uchumi.Kwa kuwa mgeni vile kazini asingeweza kusaidia chochote kwenye issue kubwa kama za EPA

This is a very weak reasoning. Nachelea kuamini tuna watu humu ndani ambao wanafikiria along these lines. Chuo watu wanamaliza in June, so that means Mwigulu alimaliza masomo yake in June of 2004. Kama alipata ajira immediately after, then alikuwa na zaidi ya mwaka mmoja na nusu wa kufanya huo wizi. Na hata kama alipata hiyo ajira mwaka 2005, nini kinamzuia jizi lililokubuhu la CCM kufanya wizi hata kama akiwa kazini for just one day. TAFAKARI.
 
Lazima uweke ushahidi wa hilo gazeti au uscan au tupe links vinginevyo tutakuita mchinvi

Kwa uthibitisho zaidi unaweza kwenda ubalozi wa Ufaransa jijini Dsm wakakupa nakala ya hilo gazeti kwani kila ubalozi wa nchi husika hutumiwa nakala ya gazeti linalozungumzia ufisadi uliofanyika kwenye nchi husika...
 
Ingekuwa vizuri ungeweka link ya ilo gazeti, Kwa mimi binafsi sijawahi kulisoma wala kulisikia,
au wewe unasema Le Nouvel Observateur.
 
Kwa jinsi anavyotokwa na mapovu anaposikia neno CHADEMA lazima kuna kitu kinamuwasha anajua hawa jamaa wakichukua nchi watamkuna tu.
 
Uzushi mtupu,Mwigulu mwaka 2005 ndio mwaka alopata ajira Bot kwani alimaliza chuo mwaka 2004 degree ya kwanza ya uchumi.Kwa kuwa mgeni vile kazini asingeweza kusaidia chochote kwenye issue kubwa kama za EPA

Mzee pamoja na ukweli huo wa Mwigulu kumaliza shule(Bachelor) 2004, je unamfahamu Mwigulu vizuri?FYI:'Yupo kazini' years before that.
 
sheria za huku France haziruhusu kucopy na kupaste pia hili ni gazeti la mji wa Versaille hivyo halina website.

ila hizo sheria zinaruhusu kutoa story kutoka kwenye gazeti na kuziweka kwenye social media?
 
Wanajf nipo nasoma hapa nasoma gazeti la LE OBRESS linalochapisha mjini Paris Ufaransa limemtaja katibu wa fedha na uchumi wa CCM ndugu Mwigulu Mchemba kuwa wakati anafanya kazi benki kuu ya Tanzania(BOT) alishiriki kwenye wizi wa EPA 2005 ambapo alikisaidia chama chake cha CCM kukwapua mabilioni ya shilingi ambazo walizitumia kwenye uchaguzi mkuu wa 2005.Chama cha mapinduzi kilimuahidi kumpa ubunge pia cheo ndani ya CCM..Pia gazeti hjli limesema kuwa wale watuhumiwa wa EPA waliohukumiwa vifungo Farijala Hussein na ndugu yake walimtaja Mwigulu kama mtu mmoja wapo aliyewasaidia kukwapua fedha kutoka benki kuu lakini walipomtaja tu ikulu iliingilia kumkingia kifua kwa kuwa angewaumbua wakubwa wengi.

Na ndiyo maana alizawadiwa uweka hazina wa JF? Ama kweli CCM inavyowanyonga Watz -- kama inavyoonyesha kwenye signature yangu hapa chini.
 
Na ndiyo maana alizawadiwa uweka hazina wa JF? Ama kweli CCM inavyowanyonga Watz -- kama inavyoonyesha kwenye signature yangu hapa chini.

Hapo kwenye red mkuu, unamaanisha nini?
The unseen is illustrated by the seen.
 
Sasa ujasili huu wa kijinga Nchemba anautoa wapi? hivi hicho kimgomba alichoegemea kitakuwepo mpaka lini? Namwonea huruma coz bado nikijana sana
 
Nnaloweza kukubaliana nalo moja kwa moja ni kuwa alikubali ye mwenyewe jana kuwa ni mchumi no. moja na alikuwa BOT, nikiweza kuhusisha na muda alokuwa BOT hapo naweza kumhusisha na matatizo ya BOT. Otherwise, bila na kuwa na uthibitisho ulo wazi bila doubt siwezi kuchangia sana hapa above all, judging a person using public media will always be improper!!!
 
Uzushi mtupu,Mwigulu mwaka 2005 ndio mwaka alopata ajira Bot kwani alimaliza chuo mwaka 2004 degree ya kwanza ya uchumi.Kwa kuwa mgeni vile kazini asingeweza kusaidia chochote kwenye issue kubwa kama za EPA
Na hela za BOT ziliibiwa 2005.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom