Mheshimiwa Mwigulu Mchemba aache kupotosha wa-Tanzania.

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba aache kupotosha wa-Tanzania.

Kuna mahali nimeona Naibu waziri wa fedha –sera akijinasibu eti CCM wagombea wake wa serikali za mitaa zaidi ya nusu wamepita bila kupingwa katika uchaguzi wa vijiji na vitongoji Tanzania nzima, huu ni upotoshaji wa hali ya juu kwa upande wa waziri tena inaonyesha yeye ni mbumbu kwa upande wa masuala ya fore casting.

Nina sababu kadhaa za kithibitisha uwongo wake.

1. Majina ya wagombea yamebandikwa jana saa 10 yeye takwimu hizo kazipata wapi ukitilia maanani Tanzania ni kubwa.

2. Kuna pia zoezi la kuweka pingamizi halijafanyika bado Mwigulu amejihakikishiaje kwamba Mapingamizi yote CCM itashinda

3. Mimi niko Mtwara kata ya Kiromba juu, kwa mjibu wa makubaliano ya UKAWA hapa ni eneo la CUF, Vijiji vyote Kiromba juu yenyewe, Mkahala, Mpanyani na Kianga vijiji vyote, vitongoji vyote kuna wapinzani mbaya kuliko zote kuna kitongoji Fulani mgombea wa CCM kaingia mitini wa CUF kapita bila kupingwa, waziri kapata wapi takwimu hizo aache upuuzi wake

Labda walikoshinda kwa idadi hiyo ni kwenye jimbo lake la Iramba ambako majitu bado hayajitambui.

Hivi naibu waziri ni mpumafu kwa nini CCM ipite bila kupingwa wakati watu tuna hasira ya wizi wao huo account ya ASCROW Tegeta, wapite bila kupingwa kwa lipi?
 
wewe ndiyo hunaakili kabisa bora hata sugu anakushinda japo ilizoeleka kuwa yeye ndiye zero wa kwanza tanzania.
 
hata mimi nilishangaa yaani nusu ya vijiji tanzania wamepita bila kupingwa? mgoja tusubiri lakini si raisi kitu kama icho kwa sasa yani ukawa wakose wagombea wengi kiasi icho tusubili mapingamizi yaishe
 
Sina nia mbaya ya kuwakatisha watu tamaa lakini kama bado kuna mtu anafikiri revolution tunayoitaka sasa from A-Z italetwa kwa kura then please fikiri tena na refer to 2010 uniambie kama ni UKWELI KABISA CCM walishinda kwa KURA! Lets be honest kama wanachukua kila kitu unadhani watashindwa hizo kura??? ESCROW ni mfano mzuri.
 
Tafadhali waombe radhi watu wa Iramba.Iramba wameanza kujitambua ndio maana wa kuna mwenyekiti wa kitongoji kapita bila kupingwa.
UKAWA watapata viti vingi sana Iramba.
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba aache kupotosha wa-Tanzania.

Kuna mahali nimeona Naibu waziri wa fedha –sera akijinasibu eti CCM wagombea wake wa serikali za mitaa zaidi ya nusu wamepita bila kupingwa katika uchaguzi wa vijiji na vitongoji Tanzania nzima, huu ni upotoshaji wa hali ya juu kwa upande wa waziri tena inaonyesha yeye ni mbumbu kwa upande wa masuala ya fore casting.

Nina sababu kadhaa za kithibitisha uwongo wake.

1. Majina ya wagombea yamebandikwa jana saa 10 yeye takwimu hizo kazipata wapi ukitilia maanani Tanzania ni kubwa.

2. Kuna pia zoezi la kuweka pingamizi halijafanyika bado Mwigulu amejihakikishiaje kwamba Mapingamizi yote CCM itashinda

3. Mimi niko Mtwara kata ya Kiromba juu, kwa mjibu wa makubaliano ya UKAWA hapa ni eneo la CUF, Vijiji vyote Kiromba juu yenyewe, Mkahala, Mpanyani na Kianga vijiji vyote, vitongoji vyote kuna wapinzani mbaya kuliko zote kuna kitongoji Fulani mgombea wa CCM kaingia mitini wa CUF kapita bila kupingwa, waziri kapata wapi takwimu hizo aache upuuzi wake

Labda walikoshinda kwa idadi hiyo ni kwenye jimbo lake la Iramba ambako majitu bado hayajitambui.

Hivi naibu waziri ni mpumafu kwa nini CCM ipite bila kupingwa wakati watu tuna hasira ya wizi wao huo account ya ASCROW Tegeta, wapite bila kupingwa kwa lipi?
 
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba aache kupotosha wa-Tanzania.

Kuna mahali nimeona Naibu waziri wa fedha –sera akijinasibu eti CCM wagombea wake wa serikali za mitaa zaidi ya nusu wamepita bila kupingwa katika uchaguzi wa vijiji na vitongoji Tanzania nzima, huu ni upotoshaji wa hali ya juu kwa upande wa waziri tena inaonyesha yeye ni mbumbu kwa upande wa masuala ya fore casting.

Nina sababu kadhaa za kithibitisha uwongo wake.

1. Majina ya wagombea yamebandikwa jana saa 10 yeye takwimu hizo kazipata wapi ukitilia maanani Tanzania ni kubwa.

2. Kuna pia zoezi la kuweka pingamizi halijafanyika bado Mwigulu amejihakikishiaje kwamba Mapingamizi yote CCM itashinda

3. Mimi niko Mtwara kata ya Kiromba juu, kwa mjibu wa makubaliano ya UKAWA hapa ni eneo la CUF, Vijiji vyote Kiromba juu yenyewe, Mkahala, Mpanyani na Kianga vijiji vyote, vitongoji vyote kuna wapinzani mbaya kuliko zote kuna kitongoji Fulani mgombea wa CCM kaingia mitini wa CUF kapita bila kupingwa, waziri kapata wapi takwimu hizo aache upuuzi wake

Labda walikoshinda kwa idadi hiyo ni kwenye jimbo lake la Iramba ambako majitu bado hayajitambui.

Hivi naibu waziri ni mpumafu kwa nini CCM ipite bila kupingwa wakati watu tuna hasira ya wizi wao huo account ya ASCROW Tegeta, wapite bila kupingwa kwa lipi?

Kila mtu ana uhuru wa kuandika kile anachofikiri kitampendeza.Anatumia uhuru wake wa kikatiba,sioni kosa lake.
 
wewe ndiyo hunaakili kabisa bora hata sugu anakushinda japo ilizoeleka kuwa yeye ndiye zero wa kwanza tanzania.

Hivi huwa mkitukana malipo huwa yanaongezwa au ni ileile buku 7.na malipo huwa yanakatwa kodi?.
 
Back
Top Bottom