Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

Magufuli alilewa na sifa za uongo/za kinafiki... yanayoendelea sasa ndio ukweli.
Tutajionea mengi

Acha wamgeuke tu aliumiza watu wengi sana! Nchi ilikuwa na huzuni mno huku wasukuma wakichekelea, na kuzodoa watanzania wengine kama hii nchi wao siyo wazawa!

Mama tutakuongezea hata mingine kumi! Watanzania wana amani na furaha sasa hv, angalau umoja wetu umeanza tena kurudi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…