Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
Kati ya Hawa ni yupi alivutia zaidi utendaji wake wa kazi kwa mwaka 2023.


1. Mwigulu Nchemba



2.Hussein Bashe



3. Januari Makamba


4. Makame Mbarawa


5. Hamisi Kigwangala


6.Luhaga Mpina


7.Tundu Lisu


8.Zitto Kabwe

9.Freeman Mbowe



10.Daniel Chongolo

Mchague unayemtaka na kueleza mwaka 2023 alikuvutia kwenye eneo gani kuhusu utendaji na uwajibikaji kwa jamii.
 
Hiyo list kuweka hao ccm nikukosea uwezo wako wa kufikiri. mtu kidogo anayetumia ubongo hapo kwenye nchi ya kijani ni Luhanga mpina.
 
Zitto kwa kuifufua TCD, Chadema walimtukana leo kikowapi, aliwaambia tuanze na tume ya uchaguzi wakamtukana leo kikowapi. Amewatangulia sana.
 
Kinara wa nini? Wote ni uozo mtupu
 
Umekurupuka. Hujaelewa chochote!!! Hiyo ni orodha tu na haipo for ranking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…