Mwigulu hili hapana

yale yale ya mtu ameshikwa ready handed unataka uchunguzi ufanyike tena
Aliyetoa hiyo ahadi ashasahau. Alisema mtu akitajwatajwa tu kwamba kafanya madudu, atamtoa leo hii kolomije kaionyesha dunia kwamba Tanzania sasa kuna vijana wanafanya vioja kama vya m23 lakini wapi. Hii dhambi ipo siku itamrudia tu huyo mtu.
 
Aliyetoa hiyo ahadi ashasahau. Alisema mtu akitajwatajwa tu kwamba kafanya madudu, atamtoa leo hii kolomije kaionyesha dunia kwamba Tanzania sasa kuna vijana wanafanya vioja kama vya m23 lakini wapi. Hii dhambi ipo siku itamrudia tu huyo mtu.
Daa we acha tu Mkuu Dan Zwangendaba mkuu anazidi kusahau tuu kila kitu alichoahidi na kutamka before,kuna siku atasema mi ni rahisi wa mazombi sio watu
 
Mmh mtaambiwa hizo za bunduki ni porojo zenu za mitandaoni
 
Mmh mtaambiwa hizo za bunduki ni porojo zenu za mitandaoni
 
Tatizo mnatumia hisia ktk kila kitu, mwenye mamlaka kasema hivyo.
 
watanzania wa leo sio wa jana.
Mheshimiwa rais naye analalamika eti kosa la mtu mmoja lisichukuliwe kuwa ni kubwa na sio kweli kwamba serikali inali-support.
huyo ni amiri jeshi mkuu wa majeshi naye hataki kukubali serikali iwajibike anavitwisha lawama vyombo vya habari"eti kitendo cha kihalifu cha mtu mmoja"
waziri awe mkweli RPC wa kinondoni anamfahamu fika yule jamaa maana na yeye alikuwepo kwenye ile "operation dhibiti NAPE"ilioratibiwa na MAKONDA hata huyo Makonda yupo karibu zaidi na askari majasusi kuliko hata IGP maana ndio hao hao majasusi makonda alioingia nao kufanya fujo Clouds.
Wananchi tunaomba serikali iache kukwepa majukumu yake ya kulinda usalama wa raia wake,ni aibu sana kwa viongozi wa serikali kutekeleza majukumu yao kimtego mtego na kujiona kuwa wapo juu ya sheria na kwamba uhai wetu hauna thamani kwao!
 
 
Jamaa yule anafahamika vizuri...yanii Magu kilaa ikizidi kutaka kuficha uozo wa Jambo la Bashite ndo inazidi kuharibu kabisaaaa.... Suala lile hawezi fanya raia wa kawaida hata siku moja.. Na vile tulivochoka na maisha ya Magu leo mtu ukaanze kumuonesha bastola Hero Nape....haipo hiyo...!! Wakizidi kutaka kufunikaa uozo wa bashite Mungu atazidi kuwaumbuaa...Na Huyu Mwakyeee nae hili la cloudz akisimamia hakii bila kuwa mnafiki anatumbuliwaa siku so nyingiii....
 

Siku bashite akimnyapia mtoto wa mkulu ndio atajua kuwa mbivu au mbichi sijui atamtumbua au atasema habari za mitandaoni
 
Sources have confirmed that security officer who pulled gun on Nnauye Nape is from the Presidential Security Unit (PSU), not police
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…