Mwigulu hili hapana

Ndo mawaziri wanaotakiwa awamu hii siyo wanaohoji.
 
utasikia amehukumiwa kwenye mahakama za kijeshi au kapewa onyo kali
 
Mwigulu nchemba ndugu yangu usijaribu kama unaweza jitoe mzima mzima kama nape simamia haki but jiandae nawewe jutumbuliwa
 
Mkuu inawezekana ikawa toyo gun ya watoto! Au walikuwa bongo movie
 
Yule Jamaa aliyemtolea Mhe.Nape bastola mbona hajatiwa nguvuni?. Hapa uzalendo utakosa.
 
~kwani kwa kuwa ni waziri anaweza kufahamu askari wote mmoja mmoja?....
~ok we differ!


Anatakiwa kuwa na mechanisms za kujua hilo. Mbona walimu wakuu shule zao zikiharibu wanafukuzwa na waziri? Kwani Ndalichako anajua walimu wote wa nchi hii? Ni mechanisms tu ndio zinamsaidia!
 
Muulize baba mwenye nyumba wako ndio anayefahamu uhalisia wako unavyokwepa kulipa pango.
VP Mbona ukizidiwa hoja unaanza visingizio na Kutoka nje ya mada?
 
Mwigulu Kisu kimechoma ktk mfupa akigeuka kulia aliefanyiwa tukio ni best yake kushoto kuna mfalme juha sasa haelewi afanyaje maana kibarua anakipenda na pia anapenda kuishi muda mrefu..
 
Kwa nn na wale askari walio vamia clouds hakujitokeza na kumuagiza igp awafatilie au kwa kuwa walivaa uniform? Wao waliwatuma? Hawakupaswa kutafutwa? Mwigulu ni mnafiki na mshenzi pia.
Kwa nini unamtukana?? Hivi kweli ungekuwa uso kwa uso na Waziri Mwigulu ungemtukana hivyo?? Kwa nini usichangie thread kiungwana? Au kwa kuwa uko nyuma ya keyboard??
 
Kwanini Mwigulu hajatumbuliwa? Naona nayeye ni mzigo tu
 
Jina lako limenipa sababu ya kukudharau. Laanaa turkadiriiii.
Utakuwa unaumwa unagoma kunywa dawa wewe. Jina lako ama langu ni majina kama mengine. Sina laana niko huru kuliko wewe. Hivi ukisema nina laana ndo tayari inakuwepo?. Haaahaaahaaahaaa, kuwaza siyo sare usitake tuwaze sare wote hiyo itakuwa ajali.
Aliyekuponza ni huyo aliyekukaririsha hiyo elimu bila kukupa uhuru ktk kichwa chako.
 

Kwani alikua nani yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…